Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haaaaa! Vp EPL tutabeba mkuu?
 
Hiz jez zetu walikua wanatusema kweli, sio nzuri kiukweli
 
Dakika ya 8: Goli la West Ham United limekataliwa bila VAR.
 
Kitaswira lazima watuone kama punda baada ya dakika 2 ndio watarudisha taswira ya mtu

Kuna wakati mtu hutumia zaidi mazoea katika kuona kitu
 
Bruno ni kidogo muhimu sana. Tunakwama. Martial atoke zingine Mata.
 
Hivi ni mimi au peke yangu ambaye simwelew huyu VDB ?

Sosha anampnga masho wa nn bola kucheza pungufu kuliko martial acheze manina
 
Martial kama panya wa kanisa....ana data tu na misa ila hawezi kula sadaka
 
Imekuwa kama sheria sasa kila mechi lazima aanze kufungwa Man. Utd.
 
★Hivi kwnai ji lazima mpaka tufungwe ndio wachomoe sipendi huu Mtindo basi★
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…