Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahiyo mwisho wa siku nyie ndio mkawa vibonde
bado tunahitaji nafasi ya kwanza ila kufungwa goli 3 na paris kumenivunja moyo sana.
unajua uingereza team tatu zimefuzu nafasi ya kwanza, ikitokezea tumeshika nafasi ya pili mara tunachanganywa waingereza watupu kwenye mechi moja ya mtoano.

wasiwasi wangu ndio huo
 
Mechi ya mwisho una RB Leipzig watakunyonya Mavi kisha wanakutupa ueropa huko
Watapokea mkong'oto vyenye hawajawahi ona sidhani kama tutagawa point tatu za bure kama tulivyocheza na basakseher sijui huko
 
16 bora hazikutani team za nchi moja labda ziingie 5 au 6 ila kama 4 hazikutani
 
Mkuu tunza hii comment wanaenda kucheza EUROPA LEAGUE hawa hawatoki kule.
 
Hata mkiwa wa pili round inayofata hakuna kukutana watu wa ligi moja au waliokuwa kundi moja.

Ila robo yeyote anakutana na yeyote bila kujali kama uliongoza kundi au mnatoka nchi moja.

Kwa hiyo zikipita zote kwenda robo kuna big chance ya kukutana.
 
kumbe lile balaa linakuwa robo fainali.....
mechi zetu huwa hazitabiriki haijalishi team fulani ina ubora zaidi ya mpinzani fulani.

kipindi cha nyuma ilipigwa mechi moja ya kibabe sana kati ya liverpool na chelsea
bonge la mechi(funga nikufunge)
 
Last 16 timu kutoka taifa moja hazikutani..hiyo ni hadi robo fainali.

Lakini bado tukimaliza wa pili na hizi game reading skills za kishamba za Ole tutakipata tu still hata tukikutana na Wakubwa waliopooza mfano Barca
 
barcelona
real madrid
psg
sevilla

hizi team ikitokezea zimetufunga tena kwenye mechi mbili za mtoano basi nitafikiria kutafuta starehe nyengine(mpira nitaacha)
achana na kelele za wapinzani sisi tuna team kubwa ila hatujijui ya kwamba tuna timu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…