The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tatizo co kuanzia benchi, bali tatizo ni nani anayemweka benchi, hapo ndiyo tunaposhangaa.Me niliangalia kipindi cha kwanza tu, nilipoMimi niliangalia kipindi cha kwanza tu, nikakimbia.
Nilivyo gundua Cavani yuko nje, nikajua hatushindi leo.
Nashukuru tumeshinda, heshima imerudi.
Cavani sio mchezaji wa kuanzia benchi
Sasa hio individual contribution ni tukishinda tu? Tukifungwa hao individual wanakuwa wapi?Tunacholaumu mashabiki ni consistency ndo mana huwa tunafikia kusema ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja cz hata leo tulishapoteana km co Bruno na El Matador.
Asernal haina jipya mkuu...Huyu alishaisahau Arsenal kabisa
mimi ni shabiki wa Martial hasa akitokea pembeni coz ana ubunifu kuliko Rashidi ambae msingi mbio,sio Martial tu anaefumba macho wakati wa kupiga mpira wa kichwa hiyo ni kila mchezaji yabi kiufupi ni kama chafya tu wakati inakuja unaiona ila kuipiga lzm ufumbe macho, kwahiyo mkosoe kwa mengine lkn sio kwa hili ambalo hata Ronaldo anafanya.Hakika mkuu,,
Ndy maana nikasema siku moja wakati namchambuwa martial,,
Nilisema striker gani hapigi vichwa?
Martial anapiga kichwa huku kafumba macho..
Leo ndy imeonekana dhahiri kwamba striker no 9 lazima ujuwe kupiga mashuti,,na pia uwe mkali wa vichwa,,
Naamini mkuu sasa timu pinzani zikicheza na man u,,
Macho yote kwa cavani,,,
Hata van persi analijuwa hilo,,,View attachment 1637859
Yaani mzee umeamka muda si mrefu, umeona kabla ya kupiga mswaki uwatukane kwa Arse8Hakuna kitu kinaniuma kama ile kufungwa na Arsenal..Pumbav sana Pogba..
Arteta ngoma ngumu,ni vipigo tu huko
Mkuu siyo kweli, martial hata akiona mpira unakuja usawa wa kupiga kichwa sometime anakwepa kidogo, Si kwamba hajui hapana ila ni mzuri sana akitokea pembeni bt nakukumbsha tu angalia ni striker gani epl bishoo na mlegevu kama martial hapo ndo utagundua kua kile ni kipaji chenye uvivu ndani yake, hata jana angekuwa yy cavani asingepiga vile vichwamimi ni shabiki wa Martial hasa akitokea pembeni coz ana ubunifu kuliko Rashidi ambae msingi mbio,sio Martial tu anaefumba macho wakati wa kupiga mpira wa kichwa hiyo ni kila mchezaji yabi kiufupi ni kama chafya tu wakati inakuja unaiona ila kuipiga lzm ufumbe macho, kwahiyo mkosoe kwa mengine lkn sio kwa hili ambalo hata Ronaldo anafanya.
Mkuu sio hilo tu na Ana mechi moja mkononi na kama akishinda gepu litakuwa la point 2....!!!!Huyu jamaa atafukuzwa kweli????
Gape la point nne tu na anaeongoza ligi...
Kwani Cavani na Bruno siyo wachezaji wa United?Tunacholaumu mashabiki ni consistency ndo mana huwa tunafikia kusema ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja cz hata leo tulishapoteana km co Bruno na El Matador.
Kisa jana mumeshindaHakuna kitu kinaniuma kama ile kufungwa na Arsenal..Pumbav sana Pogba..
Arteta ngoma ngumu,ni vipigo tu huko
Tatizo co kuanzia benchi, bali tatizo ni nani anayemweka benchi, hapo ndiyo tunaposhangaa.
Afukuzwe ili iweje yani?Huyu jamaa atafukuzwa kweli????
Gape la point nne tu na anaeongoza ligi...
Hakuna kitu kinaniuma kama ile kufungwa na Arsenal..Pumbav sana Pogba..
Arteta ngoma ngumu,ni vipigo tu huko
Suala la kufukuzwa Ole hilo sahau.Huyu jamaa atafukuzwa kweli????
Gape la point nne tu na anaeongoza ligi...
Very lame excuse, timu ikishinda ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, ikifungwa mwalimu hana mbinu.Tunacholaumu mashabiki ni consistency ndo mana huwa tunafikia kusema ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja cz hata leo tulishapoteana km co Bruno na El Matador.