Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Me niliangalia kipindi cha kwanza tu, nilipo
Huyo ole akiendelea kumpa game time chache cavani utakuwa ndy mwisho wake,,

Maana mashabiki wote wa man u duniani wanahitaji cavani aanze..
Mimi niliangalia kipindi cha kwanza tu, nikakimbia.
Nilivyo gundua Cavani yuko nje, nikajua hatushindi leo.
Nashukuru tumeshinda, heshima imerudi.
Cavani sio mchezaji wa kuanzia benchi
 
Mkuu tungekuwa na martial,rashford na mdogo wa greenwood tulikuwa tunaliwa mbili 0
 
Me niliangalia kipindi cha kwanza tu, nilipoMimi niliangalia kipindi cha kwanza tu, nikakimbia.
Nilivyo gundua Cavani yuko nje, nikajua hatushindi leo.
Nashukuru tumeshinda, heshima imerudi.
Cavani sio mchezaji wa kuanzia benchi


kabisa,,,,tena mashabiki wanakwambiya cavani anapaswa acheze,,,haijalishi kufunga ....

Whether cavani scores or not defenders no go sleep..

Kkkkkkk.

 
Mimi bado naamini msimu huu tunachallenge ligi, timu pekee ambayo kidogo inatisha ni spurs, na wao pia sidhani kama wana depth ya maana hasa vile wanacheza Europa
Three things are certain in life. Taxes, death and Spurs bottling the league. I can bet my life those guys hawawezi kubeba ndoo. Wanachangamsha genge tu.

Kuhusu ku-challenge ndoo kusema ukweli Ole ana uwezo mdogo sana kimbinu. Mechi almost 90% ya msimu huu tulizoshinda sio strategy ya mwalimu ni juhudi binafsi za baadhi ya wachezaji hasa hasa Bruno.

Nashawishika kuamini kwa sasa ni ngumu sana Manchester United kupata ushindi bila Bruno uwanjani. Ole hawezi kutupa kombe la maana labda Carabao.
 
Kaonyesha vyote anaweza kutengeneza nafasi na pia kutumia nafasi goli la tatu kujikunja kama samaki was penye cent 5 (sijui kama vijana wanaijua hii. )bado ana vitu vingi
 
Spurs ya JMou hii sio ya Poch.
 
Juzi nilimpangia Ole kikosi vizuri ila leo akamuacha Cavani nje..Nachotaka kumwambia ni kuwa Greenwood,Rashford,Martial hawa watoto sio wa kuwadekeza ..kule mbele tunahitaji watu wa kufunga biashara mapema..Na Cavani is your man

Vitoto kufunga havufungi,pasi za mwisho proper vichoyo kutoa..yaani hovyo kabisa

Martial na Rashford wagombanie namba kushoto..Cavani asimame katikati..hizi timu ndogo tutajipigia kirahisi..

✓Fred kanikamatia dimba vizuri sana leo..nimefurahi 8/10

✓Matic too slow.. 6/10

✓Maguire ametulia sana leo 8/10

✓Telles anajitahidi 7/10

✓Bruno,Poor first half,Good second half 7/10

✓De Gea..not pleased with his perfomance today..5/10

✓Rashford..ubinafsi wakati timu inataka goli..5/10

✓Cavani..hakuna kuongea hapa.. 10/10

✓VdB..Fantastic touches..8/10

✓AWB..Not bad..7/10

✓Lindelof..Not bad ..7/10
 
✓De Gea..not pleased with his perfomance today..5/10
Huyu jamaa ananikumbusha jinsi Real Madrid ilivyowachukua muda mrefu sana kukubali ukweli kwamba Iker Casillas ameisha.

David de Gea, kwa sasa sio yule hana performance consistency pia ana technical errors nyingi sana huwa anafungwa magoli mengi sana ya kimakosa kwa sasa.
 
Kaonyesha vyote anaweza kutengeneza nafasi na pia kutumia nafasi goli la tatu kujikunja kama samaki was penye cent 5 (sijui kama vijana wanaijua hii. )bado ana vitu vingi
Huyo jamaa ni hatari,,

Hadi Leo ukiwauliza mashabiki wa PSG nani mchezaji wao kipenzi wa all time,,,watakwambiya ni cavani..

Jamaa analijuwa sn goal
 
Kweli mkuu,,,na hata ile assist ya rashford alitaka afunge mwenyewe,,

Cross haiwezi ikawa shuti Kali kiasi kile,,

Pale cavani kajitosa bila woga..kkkkk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…