Ndivyo Ferguson alikuwa anafanya, kikosi au mchezaji anayempa matokeo leo basi mechi ijayo anaanza ila huyu cjui huwa anatumia nn kufikiri, kikosi kilichoanza jana watu walikuwa wakikitaka sn lkn aliweka pamba masikio, kinachotakiwa atuwekee wachezaji tunaotaka.
Wapo watakaosema kocha apangiwi lkn hv kweli VDB au Cavani ni wa kukaa benchi pale utd eti kisa mfumo? Mfumo gn huo, mbn wanataka kutuongopea.
Mtu km Cavani anaweza asifunge lkn akatengeneza au hata km hatengenezi but hapotezi mipira hovyo, the same applies to vdb.
Hakika mkuu...ole haeleweki,,yaani timu hadi leo hana first 11..
Kikosi kilichoshinda Leo ,,,kesho atapangua na kuendelea kutuwekea shit players..
Yaani kuanzia left wing ,right wing,, na centre forward no 9 hawana uhakika wa kucheza mechi inayofata..
pale man u.
Kuanzia goal keeper hadi centre back ndy huwa hawabadiliki labda apate majeruhi..
Watu wanajiuliza inakuwaje hajapata wachezaji wa uhakika first 11?
anasema mfumo ndy tatizo...
Hivi hata kama ni mfumo,,, ole ameingia sokoni na kununuwa wachezaji ili tuwe attacking zaidi eneo la kushambulia,,baada ya kuona ni dhaifu,
akanunuwa striker no 9 cavani,,
akanunuwa creative attacking midifilder vdb mwenye uwezo wa kucheza 8 na 10 kwa uwezo mkubwa..
Sasa kwanini hawachezeshi?
bado anatuwekea akina martial striker no 9 badala ya kumweka really and experienced striker cavani,
huku akiendelea kumpanga tommy na Fred ambao hawana pasi za mwisho na sio creative Sana zaidi ya defensive.,
Watu wa man u pamoja na legenders walipiga sana kelele ole asiendelee kutumia mfumo wa double defensive medifilders,,,
ambao hautupi matokeo ya kushambulia zaidi ya kujilinda.
Watu walitaka tucheze na front line hii ya martial left ,,cavani striker no 9 na rashford right-wing,,
Huku Bruno na VDB wakitalawa upande wa creative attacking midifilders. ,
Ni kweli limeonyesha matokeo mazuri sana..
When Cavan plays up front, ,defenders don't sleep..
Hiyo ndy faida ya kuchezesha striker no 9 mwenye uchu wa kufunga,
Beki zote zinamwangalia yeye ,,huku wengine wakifunga kiwepesi..
Next time martial left ,,cavani no 9..greenwood right wing pia itakuwa nzr..
Rashford au martial aanzie bench.