Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili ndiyo tatizo la benchi letu la ufundi, yn wanashindwa kubadili mchezaji akawa moto ktk nafasi fulani mpk tusajili? Kocha kazi yake nn ss, ok Kuna academy kule inatumia mamilioni ya dollar so wanakosa wings wa kuwapandisha mpk tusajili? Huu wimbo huwa unaniudhi sn, kila cku ni kelele Sancho Sancho Sancho as if hyo namba ni special sn.
 
Hata yule wa Bayern anapandisha viwango wachezaji.
 
Very strange mkuu
 
Mourinho hajawahi pamdisha kiwango cha mchezaji!??? Absolute bullocks!!!!
 
★Manchester United goalkeeper Dean Henderson is desperate to leave the club on loan in January, reports The Sun.

Henderson needs to secure more game time to continue his push for an England spot with Bournemouth, Leeds and Brighton among the clubs that could look to take him on loan.★

manutd |
 
Anthony Martial ni mfano dhahiri kuwa kwenye maisha kuna watu wana bahati tuu na maisha hayako fair
And yet asipokuwepo tunakua butu? Unafikiri ni coincidence amerudi tumeanza Kushinda?

Tumecheza Bila Martial mechi 3 (4 ukijumlisha na spurs) tumeshinda mechi 1 tu, na mechi 3 kati ya hizo hatujafunga Goli lolote.

Amerudi Martial mechi 2 sasa zote tumeshinda. Jana tumefanya attempts 17, japo martial hakucheza vizuri lakini ame contribute move nyingi sana Za magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…