Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Atakuwa kaorodhesha tu bila kuzingatia formation wala pattern ya uchezaji
Km 3-5-2 haifit acheze hata 4-4-2 au 4-3-3 mana hyo fomesheni yake haitufurahishi au huendaa anaweka fomesheni tu km geresha lkn wachezaji wanacheza vile wanajua.
 
Mbn hatukuwa tukiwalaumu km saivi, hv PTER unadhani ni ww pekee ndio inakuuma man u inapozingua?
Wachezaji hawawezi kuwa kwenye top form msimu mzima.

Mbona pale Liverpool Sadio Mane na Firmino wana muda mrefu tu bila kufunga goli?

Mchezaji mmoja mmoja hawezi kuwa kwenye top form msimu wote hata Rooney kuna misimu hakuwa form japo timu iliperform.

Mimi kinachonikera ni timu nzima kucheza vibaya hili ni tatizo kubwa zaidi kuliko form ya an individual player.
 
Ndiyo kitu tunachoongea hapa kwmb haiwezekani tm nzima iwe hovyo lazima benchi la ufundi lihusike.
 
Km 3-5-2 haifit acheze hata 4-4-2 au 4-3-3 mana hyo fomesheni yake haitufurahishi au huendaa anaweka fomesheni tu km geresha lkn wachezaji wanacheza vile wanajua.
Anaweka two holding midfielders ili kuwalinda Maguire na Lindelof.

Tungekuwa na defence nzuri sana hasa wenye pace asingetumia hao two holding midfielders.

Unaposema atumie 4 4 timu inao hao wingers wa kuweza kucheza hiyo formation ?
 
Kwani Cavani ni regular starter ?

Hao vijana wawili hata kwa Mourinho walikuwepo kwahiyo na yeye hakuwa kocha mzuri akashindwa kuwapandisha kiwango ?
Morinho hajawahi pandisha Kiwango cha mchezaji yeyote duniani,,
Wachezaji wote anawakuta na viwango vyao..vya uchezaji.

Mimi bado najiuliza kwann ole alimnunuwa VDB na cavani?

Naomba mwenye uelewa anieleze..

Always nasema tatizo ni Ole..
Akija kocha mwingine watu kama Martial hastahili kucheza striker no 9.
 
Alikuwa anatafuta back up striker.

Anyway kocha gani ambaye huwa anapandisha viwango vya wachezaji ?
 
Anaweka two holding midfielders ili kuwalinda Maguire na Lindelof.

Tungekuwa na defence nzuri sana hasa wenye pace asingetumia hao two holding midfielders.

Unaposema atumie 4 4 timu inao hao wingers wa kuweza kucheza hiyo formation ?
Kuna siku nilishawahi kulisemea hilo,,,

Siku zote hakuna timu itakayopaya matokeo mazuri kwa kutumia 2 dmf na attacking midifilder 1 mbele..
Ni ngumu mno,,sasa bado sijaelewa anachojihami nn?
Na kwann hakufanya usajili eneo hilo?ili tuwe attacking zaidi?
 
Alikuwa anatafuta back up striker.

Anyway kocha gani ambaye huwa anapandisha viwango vya wachezaji ?
Wengi tu..mfano Wenger..van gaal ,,fergerson nk.

Van persi alipokuja. Arsenal alikuwa hachezi striker no 9 ,,baadae akambadilisha akampa makali,

Van gaal..alimbadilisha Valencia kutoka winger hadi beki akawa moto..

Wapo makocha wengi ambao huamini watoto na kuwapandisha viwango,,

Hivi rashford ,,,martial wa van gaali ndy hao?
Wanapata nafasi kumi za wazi wanafunga moja?
Na bado unamuanini?hata morinho asingekubali kumpanga martial over cavani..
Hapo kwetu tume feli..

Tatizo ni ole mkuu...
 
Ot tumecheza mechi ngapi na Hio 4-2-3-1? Angalia mechi kadhaa zilizopita ukitoa hii ni timu kubwa Against chelsea, Spurs, arsenal na Rb leipzig. Mechi kubwa Tunajua Ole anavyopanga timu.
 
Nimetoa Mfano Spurs na west brom, spurs pia walibahatisha kama sisi tu, walifunga goli lala salama, tena bora sisi tumetengeneza zaidi kuliko spurs against west brom.
 
Nitajie msimu mmoja tu Martial ama Rashford wamefikisha goli 17 epl tofauti na Chini ya Ole.
 
Argentina wangekuw mabingwa wa copa amarica kama mess angepata penat huu mjadala ni wa kitoto kwa watu wa mpira hivi epl kuna timu haijapiga penat na ikashinda? Nitajie timu iliyokataa penat baada ya mwamuzi kutoa
Kama kusingekuwa na kipengele cha penati basi mechi nyingi sana mngepoteza.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…