Hoja yako hapa ni kwamba bado kikosi chetu hakijakamilika au OGS ni mbovu ?Sijasema tuende sokoni tukamnunue sasa hivi..nimesema ilitakiwa front line yetu iwe na mtu kama yeye(mwenye attribute kama zake)..
Martial na Rashford wagombanie namba kushoto..Na kulia tupate world class right winger/foward
hapo unamaanisha tucheze na false centre back kwa kumtumia scottDe gea
Bissaka Maguire Telles
Greenwood Fred McTommy Bruno Vdb
Cavan Rashford
De gea
Bissaka Maguire Telles
Greenwood Fred McTommy Bruno Vdb
Cavan Rashford
Yule hatujapigwa tulitakiwa na world class striker kisha Martial akawa kama fringe player tu kipindi cha Ferguson, Welbeck, Chicharito walikuwa fringe players tu huku tukiwa na watu wengine wenye uwezo zaidi yao.Yn hata akitokea pembeni wanachukua mpira kilaini, kwakweli pale tulipigwa asbh kweupee.
Kocha hataki kumuanzisha Cavani anataka kutuaminisha kwmb hajaingia kwenye mfumo.ipo hivyo hatuzitumii ipasavyo nafasi zinazotengenezwa. mfano jana kama tungelikuwa na mwanadamu mfano wa de lima zile nafasi 6 alizotengeneza tungelikuwa tunaongea hadithi nyengine.
huo usmart na sisi pia hatunao tunapocheza na timu zinazojilinda mfano wa west ham, crystal palace na wale waturukiWestham tutawafunga tena kwa urahisi tu ni wasumbufu lakini they are not smart.
Ndo mana nikasema huu mfumo ni mgumu lkn kwa kocha unakupa nafasi ya kutoa lawama za kwnn fulani hachezi.hapo unamaanisha tucheze na false centre back kwa kumtumia scott
Why?Hilo jikosi mtapigwa mpaka akili iwakae sawa
hata huko scotland anachezeshwa bekiNdo mana nikasema huu mfumo ni mgumu lkn kwa kocha unakupa nafasi ya kutoa lawama za kwnn fulani hachezi.
Nani uyo?hata huko scotland anachezeshwa beki
Kumbe unaongea kitu ambacho hujui?De gea
Bissaka Maguire Telles
Greenwood Fred McTommy Bruno Vdb
Cavan Rashford
scott mc'tominayNani uyo?
Yeah timu imetengeneza nafasi clear 6 lakini hatukuweza kuzitumia tu na katika mchezo hivi vitu wakati mwingine vinatokea.ipo hivyo hatuzitumii ipasavyo nafasi zinazotengenezwa. mfano jana kama tungelikuwa na mwanadamu mfano wa de lima zile nafasi 6 alizotengeneza tungelikuwa tunaongea hadithi nyengine.
Sawa mtaalamu wetu.Kumbe unaongea kitu ambacho hujui?
3 5 2.
3 4 3
4 5 1.
4 3 2 1.
3 4 2 1.
4 4 2 diamond
Hizo formation zote zinakuwa na five defenders except 4 5 1 na 3 4 2 1, lakini zote ni defensive formations.
Kwa kikosi chetu Ole msimu uliopita alitumia
3 4 2 1 against Liverpool, Man city na Tottenham.
Msimu huu aliitumia 3 4 2 1 against PSG na alitumia 4 4 2 diamond against Liepzig na Instanbull.
Mifumo ya kutumia 3 defenders mara nyingi wote huwa ni central defenders.
Halafu fullbacks unawaconvert into wingbacks.
Hebu tuambie wewe hapo central defenders wako wapi na wingbacks wako wapi ?
Kwani Cavani ni regular starter ?Sio kweli PTER mchukue Rashford mpeleke Bayern af utaona hata hili garasa Martial tunalolilaumu humu nadhani nalo huenda tatizo ni lile lile la benchi la ufundi kushindwa kupandisha kiwango, unataka kunambia Cavan hana level ya kuchezea utd?
Mbn hatukuwa tukiwalaumu km saivi, hv PTER unadhani ni ww pekee ndio inakuuma man u inapozingua?Kwani Cavani ni regular starter ?
Hao vijana wawili hata kwa Mourinho walikuwepo kwahiyo na yeye hakuwa kocha mzuri akashindwa kuwapandisha kiwango ?
Atakuwa kaorodhesha tu bila kuzingatia formation wala pattern ya uchezajihapo unamaanisha tucheze na false centre back kwa kumtumia scott
Fixture ngumu ni Southampton tena kwao tutakuwa na wakati mgumu sana ila inaweza kuwa tofauti maana timu yetu ni kama homa ya vipindi tuhuo usmart na sisi pia hatunao tunapocheza na timu zinazojilinda mfano wa west ham, crystal palace na wale waturuki
Msijali mkuu. Mtapata penati.Fixture ngumu ni Southampton tena kwao tutakuwa na wakati mgumu sana ila inaweza kuwa tofauti maana timu yetu ni kama homa ya vipindi tu