Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ralph Hausenhult atatulaza na viatu let's wait

Shida ya hii timu yetu ni kuwa huoni details za kuotoa ishara kuwa hii timu ina mwalimu bora na pia muda mwingine haieweleki ni wachezaji mediocre au nini..
 
Why kocha anaendelea kumpanga over and over?..
 
Mkuu mark my word, OGS hata umpatie Haaland, tutaua kipaji cha dogo tu, hata umpe Mbape atakua kama martial tu

Ubora wa manager kwnza ni kuweza tumia resources alizonazo kwa ufanisi
Hilo nalijua..OGS hajanishawishi kabisa..lakini ni ukweli hata akija kocha mzuri,hii frontline yetu bado haina maturity ile ya kuleta makombe
 
Hii tafsiri yake nini mkuu ?
kwa uelewa wangu ni kama indicator inayo tathmini taathira ya mashuti tunayopiga langoni kwa adui. unaweza kuchukua jumla ya mashuti tunayopiga ukagawanya na magoli yaliofungwa baadae ukazidisha kwa 100. unaweza ukawa na shots nyingi kama za wachezaji wa tanzania lakini zisiwe na faida yoyote na ukawa na shots chache za on target au total attempts kama croatia na world cup au man utd ya mourinho lakini zikazalisha magoli mengi. kwenye asilimia 100 sisi tuna 7%. sisi tumeozeana
 
Kwa hali ya kawaida sisi hatuna striker mwenye level ya kuchezea united, tunawachezaji ambao kwa level ya United walipaswa kuwa fringe players tu.
 
Point yangu ni kuwa wote hao sio solution..tunahitaji straika kama Haaland

Otherwise ni marktime tu tunapiga..tuwe wawazi.
Kwa juhudi alizozifanya Ole dirisha la January kumsajili Haaland ila Woodward akashindwa tuna sababu za kumlaumu Ole juu ya hili ?
 
Westham tutawafunga tena kwa urahisi tu ni wasumbufu lakini they are not smart.
 
Kwa hali ya kawaida sisi hatuna striker mwenye level ya kuchezea united, tunawachezaji ambao kwa level ya United walipaswa kuwa fringe players tu.
ipo hivyo hatuzitumii ipasavyo nafasi zinazotengenezwa. mfano jana kama tungelikuwa na mwanadamu mfano wa de lima zile nafasi 6 alizotengeneza tungelikuwa tunaongea hadithi nyengine.
 
Tulipigwa na Totenham hizo 6 ndiyo tukaenda kushinda kwa PSG na Liepzig
 
Kwa hali ya kawaida sisi hatuna striker mwenye level ya kuchezea united, tunawachezaji ambao kwa level ya United walipaswa kuwa fringe players tu.
Sio kweli PTER mchukue Rashford mpeleke Bayern af utaona hata hili garasa Martial tunalolilaumu humu nadhani nalo huenda tatizo ni lile lile la benchi la ufundi kushindwa kupandisha kiwango, unataka kunambia Cavan hana level ya kuchezea utd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…