Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Deschamps: “With me, there is no such concern, but I try to manage it too. When a player is in discomfort in his club, obviously, he [Pogba] is happy to play for the France team.” #muzone [France Football]
 
Deschamps: “He will tell me about his feelings and as I know him very well, it will go in a positive direction. Even if it is also up to him to make all his efforts.” #muzone [France Football]
 
Jamaa anachomoa betri kila akienda Ufaransa.

Na kwa hali ilivyo asipobadilika atakalishwa benchi sana na kina Scot.
Jamaa pia kashapoteza ile influence aliyokuwa nayo hapo nyuma ndani ya United..ni muda sasa aondoke maana hata ubora wake hatujauona kwa level tulizozitaka..
 
★Niliona ni kawaida tu ya kila Mshambuliaji tena hususani anaepewa nafasi katika kila mechi katika timu kutupia kambani ila kwa haya makosa mengi anayofanya anacheza na mipira kitoto anashindwa kuwa makini kufunga nafikiri hayo magoli alochezea yanaweza kuwa mengi kuzidi alofunga msimu uloisha★
Vipi kwenye game na psg ?
 
Umeelezea vzuri ila mwsho hyo conclusion cjui umetumia kigezo kipi.....umeleta takwimu za magoli sijui na assist tokea January....tusubiri msimu ukiisha na ndipo tuangalie stats na achievements zake....kuja moja kwa moja na kusema mchezaji bora na kwanza ni game week 8 cjui!!!!
 
Rashford ana makosa mengi ya kiufundi hususan katika suala la pasi utakuta anamtoka mtu vzr lkn hyo pasi akayotoa unaeza kujiuliza huyu ni mchezaji wa utd kweli huyu.
 
★Huyu nae maswala ya kusemeana yalishapitwa na wakati amuache yeye mwenyewe aseme kama kweli hafurahishwi kuwa pale OT★
Aondoke tu hamna shida, hatuwezi kuwa na mchezaji tunayehisi ni World class lkn kila siku ni madudu tu uwanjani.
 
★Yanini mtu anacheza kwa masihara kama mchezaji wa mchangani tena tule tu timu twa chini tu WYCOMBE
ila Makame bana acha tumwamini hatuna namna★
Rashford ana makosa mengi ya kiufundi hususan katika suala la pasi utakuta anamtoka mtu vzr lkn hyo pasi akayotoa unaeza kujiuliza huyu ni mchezaji wa utd kweli huyu.
 
Mkuu kwa mtu wa soka yeyote yule hawezi kumtilia shaka Fernandes itakuwa ni jambo la aibu ktk soka, FYI Bruno anaanza ktk kikosi cha timu yoyote ile duniani c Bayern, Barca, Madrid Wala City, hakuna kiungo wa kumuweka benchi Bruno, we kaa alafu fikiria ni mchezaji gn wa kumuweka benchi Uncle Bruno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…