Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hicho ndiyo kitu pekee kinachomtofautisha na Ole?

Mbona haujaangalia alikaa muda gani Totenham kufikia hayo mafanikio ?
 
Hicho ndiyo kitu pekee kinachomtofautisha na Ole?

Mbona haujaangalia alikaa muda gani Totenham kufikia hayo mafanikio ?
Mkuu Ole co kocha wa timu kubwa anahitaji muda lkn pia czan km ataweza kuwa kocha mzr hata baada ya huo muda amini kwamba mkuu.
 
Huyu sosha si ndio juzi juzi tu alishinda mechi ya epl kwa 'kandanda' safi dhidi ya vibonde akadai SASA WAMEANZA RASMI LIGI.....
🤣🤣🤣🤣
 
Ulitaka nitaje mchezaji kwenye position ambaye kwa mara ya mwisho mlikuwa nae Tony Adam's?
Hahaha Tony?

Gabriel vs Harry

Appearances:
Gabriel = 6
Harry = 6

Clean Sheets
Gabriel = 2
Harry = 1

Tackles
Gabriel = 10
Harry = 2

Passes
Gabriel = 523
Harry = 401

Last Man Tackles
Gabriel = 1
Harry = 0

Goals Conceded
Gabriel = 4
Harry = 13

Clearances
Gabriel = 17
Harry = 22

Huyu afananishwe na Tony? Kweli? Vitu vingine ni komedi.
 
★Ole Gunnar Solskjær or Frank Lampard?

Mason Greenwood or Jadon Sancho?

Here’s how Wes Brown got on in our Quickfire Quiz



manutd |
Your browser is not able to display this video.
 
★Fabrizio Romano: Marcus Rashford does not want to consider any other club and sees Man United as part of his life. He is really happy with the family at United.★



manutd |
 
★Fabio Paratici (Juventus sporting director): "Pogba? He's a Man Utd player. We love Pogba, he's a fantastic player, but it's too early to talk about our targets for the future.".★

manutd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…