mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
goli la kwanza ilipetwa offside kwanza ndo rooney akafunga,walizidi wachezaji wawili wa manure wakarudisha mpira nyuma kabla ya kupewa tena evra alyetia kros iliyomkuta rooney!
Ila kadi ya R.V.P ni ya uongo refa kamwonea haina ubishi
Hayo ni matokea ya presha waliyokuwa wanafanya Man Utd unaposhambulia sana unaongeza uwezekana wa kunufaika na makosa ya waamuzi.