Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijawahi kumsema vibaya yule dogo
Yeah, lakini jamani tusiwe na ushabiki wa kushinda tu, hata tukifungwa tutoe credit kwa mpinzani uliyecheza nae. Arsenal kipindi cha kwanza alideserve kupata goli coz alitengeneza chances nyingi shida ikawa umaliziaji. Man u shida yao kubwa ni upande wa winger/flanks mashambulizi mengi hayapiti huko A. Bissaka na Shaw bado hawana consistency kwenye performance zao, hivyo muda wa kupandisha timu wanakuwa wanapiga back-pass.
 
Tugange yajayo ingawa hii tabia ya kocha kukaa tu jukwaani wakati timu inashambuliwa siipendi wala nini anakaa tu mpuuzi yule
Sio hilo tu bali hata sub huwa anachelewa kufanya, hii game ilikuwa ni ya kumuingiza Cavani mapema kabisa ili again momentum mapema lkn kocha yupo tu juu anaangalia tu, mm bhn niseme tu inatosha ctoongelea tena hili jambo tufungwe sawa tusifungwe pia sawa tu, najua bodi inasubiri Ole atolewe ucl ndo wamsack ila ss wkt wanasubiri hvyo tutakuwa hoi kwenye relegation zone.

So from today onwards ctaongelea chochote kuhusu Ole ashinde au afungwe yote sawa tu mpk pale atakapotimuliwa na nina uhakika atatimuliwa tu hakuna namna cz tm inaonekana ina bahatisha mno yn haichezi kitimu kabisa, ipo slow haina muunganiko na inategemea wachezaji wameamkaje, hovyo kabisa.
 
Kwahiyo mkuu mnamsusia ole timu??

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ushabiki huu duh!
 
Ndiyo maana nasema Daniel James angecheza kushoto au Cavani aanze halafu Rashford acheze kushoto.

Pogba hakuwa na madhara yoyote kushoto halafu walifanikiwa kumficha Bruno na Rashford cause they knew our strength iko katikati.
 
Hua nabishana na Arsenal wenzangu. Huwa nawaambia Elneny atamyang'anya namba Partey au Xhaka hua wanakua wabishi.

Mmojawapo huyu mkorea lete na stats za leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…