Kocha ni nazi, mabadiliko tangu awali yanahitajika yeye anazubaa, Safi aseno acha wavunje mwiko leo..tumefungwa sababu ya kocha
Hii mechi ilimhitaji sana Daniel James kushotoAaah, James kana nafasi yake ujue. Rash akikimbia na mpira, Pogba anapiga mihatua yake ile, anachelewa, xross zinapotea.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hakika ni mfungaji mfungaji tuu..Hapana ninafikiri Sancho kwasababu yule ni specialist #7.Ila Rashford sio specialist left wing or #9 ila ni mfungaji mfungaji tu.
Nampenda Rashford kwakua anaichezea UTD lakini hawalingani na SANCHO MWAMBA.
Thamani ya mchezaji ni availability na Demand.
#7 ni demand kubwa sana kwa soko la football na wapo wachache sana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nadhan umeona. Japo mechi man u kapotezaNo any penalty will be awarded,
Mark my words.
United inatakiwa ifungwe kila mechiDuh ili team aijawai kutokea kisha Board bado inamkumbatia old face ahh nimesema kama mwezi huu ukiisha bila Ole kufukuzwa basi najitoa kushabikia Manchester United
Yalimpiga mvimba macho Leipzig yakaona yana timu😂😂😂😂Ukiskia walivyokuwa wanajisifia bada ya kufunga kibonde wa ujeruman
Nandio alinipinga kwa nguvu zoteNgoja aje bwana Chief Mkwawa
Duh! Seriously? Kwamba unaona pengo la Martial?wale martial Haters natumai pia munaona pengo lake.
Ooh saivi kila timu tunaua tuuu....na bado, inatakiwa kila mechi tufungwe na ingebidi hata UCL tungetolewa ila hesabu hazisomi vizurUkiskia walivyokuwa wanajisifia bada ya kufunga kibonde wa ujeruman
Yale leipizg yalikuja kushangaa OT wakasahau kilichowaletaYalimpiga mvimba macho Leipzig yakaona yana timu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]