Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,055
Mkuu, mambo ya siasa yaishie kule kule, huku soccer tu.
Alichokosea kikubwa Liepzig ni kukabia juu kwenye highline alitupa nafasi ya kufanya counter attack very easily.Hivi juzi tumetumia mbinu gani ya kiufundi kumshinda Leipzig
Mwenye maelezo mwanana anisaidie tafadhali.
Kwahiyo tulitumia vizuri makosa ya leipzig kumwadhibu na sio kwamba tuliingia na mbinu iliyowafanya wakafanya makosa ndipo tukawaadhibu?Ole got his tactics right although tulishinda dhidi ya an average team.
Hicho kidude lazima kiende England awamu hii.Liverpool: 2-0 win
Man City: 3-0 win
Chelsea: 4-0 win
Man Utd: 5-0 win
Nafikiri nimekujibu pale juuBinafsi nachukulia kuwa tulikuwa na siku nzuri hasa kwenye attack line yetu na wao walikuwa na siku mbaya tangu mwanzo.
Na kingine ni kwamba leipzig walituchukulia hatuko kwenye form hivyo hawakuweka uzito sana kwenye ulinzi.
Bado mapema, nadhani Bayern ndio tishio lililobakia, Spain au Italy hakuna timu ya kuchukua hili kombe kwa sasa.Hicho kidude lazima kiende England awamu hii.
What a performance last night. No doubt Rashford will take all the headlines, and rightly so, but I feel Solskjær deserves a special mention, no only for last night’s win, but for the win in Paris.Binafsi nachukulia kuwa tulikuwa na siku nzuri hasa kwenye attack line yetu na wao walikuwa na siku mbaya tangu mwanzo.
Na kingine ni kwamba leipzig walituchukulia hatuko kwenye form hivyo hawakuweka uzito sana kwenye ulinzi.
Huyo anachanganya timu kubwa na kongweSchakle 04 na werder bremen zilikuwa kubwa zamani siku hz ni za kawaida mnoooooo
Tournaments sometime huwa inaambatana na bahati.Bado mapema, nadhani Bayern ndio tishio lililobakia, Spain au Italy hakuna timu ya kuchukua hili kombe kwa sasa.
Mkuu nani walibebwa?Spurs zile goli 6 refa aliwabeba sana yaaan
Spurs zile goli 6 refa aliwabeba sana yaaan
Ni sawa ila ile Chelsea haikuwa mbovu kivile. Kwa msimu uliopita club nyingi za Ulaya zilikuwa zinapitia changamoto nyingi. Club zilizokuwa na uafadhali kidogo ilikuwa ni hiyo Bayern, Juve na PSG.Tournaments sometime huwa inaambatana na bahati.
Timu inaweza kuwa vibaya kwenye hatua ya makundi ikapenya kwa bahati hata ya mechi moja tu halafu knockout stage ikawa form ikachukua kombe.
Mfano chelsea ya 2011, na Bayern ya msimu uliopita.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu nani walibebwa?
Shortage ya mchezaji mmoja afu unafungwa goli tano bado ni udhaifu. Kuna timu zikiwa pungufu ndio zinakamua vizuri zaidi, nyingine husawazisha hata na kushinda. Hivyo kuliko kuamini kuwa ungeshinda ni vizuri kujiuliza ni wapi timu ilikwama kwa kiasi kikubwa hivyo.Nyekundu ndio ilituua.
Bila nyekundu, tulikua tunashinda game ile.