OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Ferran Torres hajaanza hata mechi moja.
Hakim Ziyech hahaanza hata mechi moja
Why kwa Donny iibue kelele?
Tupangie kikosi full mziki kwa unavyoona weweFact ila hao rb Bora hata psg Yan kocha asijarbu kikosi atie mzki full
Na Donny atamuweka nani benchi kati ya Poga na Bruno ?Mkuu Ziyech alikua majeruhi,na Torres atamuweka nani bench?halaf hao chelsea hawapo vizuri ki iile,kinachouma kaa ole ni kwamba tuna resource za kutosha, ni kama vile tunafa ya makusudi kufungwa
Na Donny atamuweka nani benchi kati ya Poga na Bruno ?
De geaTupangie kikosi full mziki kwa unavyoona wewe
Natamani to replicate kikosi kilichotumika dhidi PSG ila kwa kipa awekwe romero au yule young.De gea
Awb Maguire lindelof telles
Fred Bruno
Mason pogba rashford
Cavani
Mbona mechi karibu zote kaingia sub except game ya chelsea tu.Inshu ni rotation,na hata sub bas apewe sub ya uhakika sio dakika 3,na hii ndo itamuongezea kujiamini,
Atamuweka bench nani kati ya hao viumbe wawili ?Inshu ni rotation,na hata sub bas apewe sub ya uhakika sio dakika 3,na hii ndo itamuongezea kujiamini,
Kwani De Gea kafanya makosa gani ya kumuondoa langoni ?Natamani to replicate kikosi kilichotumika dhidi PSG ila kwa kipa awekwe romero au yule young.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Romero ametolewa kwny kikos cha timu yy na jonesNatamani to replicate kikosi kilichotumika dhidi PSG ila kwa kipa awekwe romero au yule young.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwanini sio De Gea?..Natamani to replicate kikosi kilichotumika dhidi PSG ila kwa kipa awekwe romero au yule young.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
De gea abaki EPL tuKwanini sio De Gea?..
Recent perfomance yake sio mbaya
Na Donny atamuweka nani benchi kati ya Poga na Bruno ?
UCL returns to Old Trafford
Tuna kikosi kipana kwa sasa Ole asistick na watu walewale tu..awe pia anabadilisha approach tupate mchango wa wachezaji wengine..Mfano Fernandes anaweza kupumzishwa gemu ya leo In my Opinion(IMO) na akaanza mtu mwingine kwenye hiyo nafasi..Same applies to Rashford
My First XI vs RB Leipzig
DDG
Axel Maguire Lindelof Telles
Fred Matic Pogba
VdB
Cavani Martial
SUBS:Henderson,Shaw,AWB,Rashford,Mata,Fernandes,McTominay
Hatuko vibaya kwenye kikosi on paper guys,tuna timu nzuri..Kocha alete magic zake tu
Panga cha kwako haujazuiwaWw unataka ulete masihala na champions league, mkuu hicho kikos kikianza tunapgwa za uso