Atazoea ligi kwa kuingia dakika ya 87"?Ukilalamikia kwanini VDB hachezi una matatizo kidogo...
Ligi imechezwa mechi ngapi?
Ana uzoefu na ligi kiasi gani?(Inatakiwa azoee taratibu)
Alisajiliwa wa kazi gani? ( Uliwahi jiuliza akiumia Bruno nani atacheza?)
Tuache kuwa watu wa lawama jamani
Wacha aongee tu mana ole anazingua sn.Sema Evra naye anaongea sana..
Hizo minutes 61 zimetoka wapi?★Ko anazoea ligi bila kucheza mkuu unataka kuniambia??? Hivi utakizoea kitu bila kukifanya mtu kama mnamwamini muwekeni mkiona anazingua mnamuweka sub sio kwkba huchezi afu useme utazoea tu★
Ongea kama mtu wa mpira basi, Usijishushie heshima yako.....Nisikilize nikwambie, vdb anatakiwa acheze cz ni classic player yn kocha anatakiwa afanye vyovyote awezavyo yule mtu acheze usiniambie hbr za winga.
Halafu hizi habari za winger nimekuja kuona at some point ni bullshit..tunaweza kucheza bila hata ya typical winger na kukichafua vilevile..Nisikilize nikwambie, vdb anatakiwa acheze cz ni classic player yn kocha anatakiwa afanye vyovyote awezavyo yule mtu acheze usiniambie hbr za winga.
Sema Evra naye anaongea sana..
Hizo minutes 61 zimetoka wapi?
Ligi inazoewa taratibu sheikh sio kila mtu ata adopt mapema.
Mimi sio kwamba nataka VdB awe anaanza kila mechi,no..ila ikitokea akawa benchi mechi kubwa huku James/Lingard wanakatika viuno uwanjani sitoelewa★Ila kuna vingine vina mantiki hata waropokaji Darasani kuna muda wanaropoka vitu vinawazindua akili ila kweli hapa Mwalimu anaonea same Evra alichosema kama mtu anakaa benchi ko haikuwepo umaana wa kumchukua sijui tupate Squad depth ko kuna watu wapo wanatosha★
Nawaona sn ole fans wakitumia haka kamsemo ka winga wanajisahaulisha km man u haitumii winga nowadays.Alafu hizi habari za winger nimekuja kuona at some point ni bullshit..tunaweza kucheza bila hata ya typical winger na kukichafua vilevile..
Uptop unawaweka Rashford na Cavani ..kazi inakuwa ni kutoa mipira tu kwenye net
Maana hata Greenwood sio typical winger mbona anacheza kutokea right flank?
We wa wapi ww hebu niambie majukumu ya modern winga.Ongea kama mtu wa mpira basi, Usijishushie heshima yako.....
Yaani acheze tu hata nafasi asizoweza?
Hata yeye akikuskia atakushangaa
Lini vdb kashindwa kucheza no.11? Mbn huwa mnasema Greenwood is not a natural winga na akicheza winga anapafom vzr tu!!?? Wacheni mambo yenu bhn, tukubali kwamba Ole anazingua na ndiye aliyetunyima ushindi juzi over.Ongea kama mtu wa mpira basi, Usijishushie heshima yako.....
Yaani acheze tu hata nafasi asizoweza?
Hata yeye akikuskia atakushangaa
Mimi sio kwamba nataka VdB awe anaanza kila mechi,no..ila ikitokea akawa benchi mechi kubwa huku James/Lingard wanakatika viuno uwanjani sitoelewa
Evra nae amekuwa ropo ropo Sana,Ni mapema mno kutoa shutuma km hzoUnamleta mchezaji khalafu hachezi...sasa ulimleta ili akae benchi?View attachment 1613092
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kocha analeta mazoea af legends kina Scholes hawaongei muache Evra atusemee, af msimchukulie Evra poa kisa mweusi, ni legend yule na kacheza utd kwa mafanikio makubwa na ana uchungu na ile tm kuliko ww na mm.Evra nae amekuwa ropo ropo Sana,Ni mapema mno kutoa shutuma km hzo
Roy Keane sijamsikia siku za karibu,yupo kweli?Kocha analeta mazoea af legends kina Scholes hawaongei muache Evra atusemee, af msimchukulie Evra poa kisa mweusi, ni legend yule na kacheza utd kwa mafanikio makubwa na ana uchungu na ile tm kuliko ww na mm.
Evra anatosha ndiyo maana kakaa kmy.Roy Keane sijamsikia siku za karibu,yupo kweli?
Evra nae amekuwa ropo ropo Sana,Ni mapema mno kutoa shutuma km hzo
Hata akimtumia kama golikipa ?Nisikilize nikwambie, vdb anatakiwa acheze cz ni classic player yn kocha anatakiwa afanye vyovyote awezavyo yule mtu acheze usiniambie hbr za winga.
Kwa kweli kwa upande wangu sijaona Ni wapi ole anapozingua★Mnao sema Evra anaongea sana niwaulize kwani nyie hamuoni Ole anazingua???★
Hakuna aliesema tunamchukulia poa evra kisa mweusi, na wewe km ungekuwa Ni mtetezi wa ngozi nyeusi na sio unafiki ungeanza na kuhoji kwa nn kasajiliwa cavan wakati tuna mweusi mwenzako ighalo yupo.....Kocha analeta mazoea af legends kina Scholes hawaongei muache Evra atusemee, af msimchukulie Evra poa kisa mweusi, ni legend yule na kacheza utd kwa mafanikio makubwa na ana uchungu na ile tm kuliko ww na mm.