Katika hizo mechi mojamoja anazotufurahisha mojawapo ni za Chelsea, last season katika mechi tatu kawapiga Chelsea goli 4. Na leo anaenda kutufurahisha tena.Pamoja na yote rashidi anakukera mara kumi na kukufurahisha mara moja.......
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Nipo hapa kusapoti Man U.Uwe kiroho safi, sio una ng'ong'a.
cha umuhimu ni kumdhibiti mateo kovacic kama atacheza, usiniulize ni kwa sababu ipi.Ole atumie akili zake zote tupate 3 points..Kikosi cha kuwaua blues kipo..
Fred na Scott kama wataanza huyo Matheo hatembeicha umuhimu ni kumdhibiti mateo kovacic kama atacheza, usiniulize ni kwa sababu ipi.
goodFred na Scott kama wataanza huyo Matheo hatembei
Unaambiwa hakuna beki mgumu mbele ya CavaniCavani huyuhuyu babu aliyekosa timu toka January......rashford huyu huyu anayekufurahisha game 1 nyingine anarukaruka.....hv mnajua golini yupo kepa nn?
hivi mkuu jina lako halianzi na MO kweliJipe moyo
Huyo Bishop ndio mjuba gani?
Nisaidieni wakuu.
Ila nyie jamaa hamna shukran aisee, Rashford ni katika wachezaji watatu wakali zaidi under 23, Mbape na Haaland wanachomzidi Rashford ni kwamba wanacheza ligi rahisi zaidi, ila huyu jamaa yupo same level na hao jamaa kwenye uchezaji.Pamoja na yote rashidi anakukera mara kumi na kukufurahisha mara moja.......
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Yooo guys,inabidi tushinde hii mechi kwani tukishinda gari litawaka rasmi sasa..tukishindwa kuchukua point tatu tutarudi tena nyuma hatua kadhaa..
Ole atumie akili zake zote tupate 3 points..Kikosi cha kuwaua blues kipo..
MY FIRST XI
DeGea
Tuanzebe Lindelof Shaw
AWB Fred McTominay Telles
Fernandes
Rashford Cavani
GGMU
Kikosi cha LEO View attachment 1610520
Haaahaaaa hapana mkuuhivi mkuu jina lako halianzi na MO kweli
nina jamaa yangu tumesoma naye shabiki wa chelsea, jina lake la mwisho ni shimba
Umeambiwa ukubwa unategemea criteria gani?Ndio
Ukicombine makombe makubwa tukachanganya yaani Ubingwa wa nchi na bara la Ulaya Liverpool ndio timu kubwa