Anyway tukubaliane.Sio speculation..najaribu kukuonyesha kuwa kuna muda wachezaji wanavunja sheria ila Club zinawalinda..ila kuna sehemu timu hazivumilii hasahasa national teams
Okay,tukubali hivyo..then tuendelee kucheki progress ya dogoAnyway tukubaliane.
1. Mimi naamini alichokisema Ole
2. Wewe unaamini walichokisema Skysport.
Naona uneshindwa kujibu swali ngj nikubadilishie, Arsenal na Aston Villa ipi ni timu kubwaUshahidi ndio kama huo nimekupa kwamba Bayern ana CL 6 Man ana 3
Utachekesha kama unaongelea ukubwa kwa factor za Nje ya dakika 90 sababu mpira ni dakika 90
Man UtdOk ngj nikuulize swali, hv pale England ipi ni team kubwa kuliko zote?
Mbn Liverpool ana CL nyingi (6) km Bayern kwa nn asiwe yeye ndiye mkubwa.Man Utd
Kwa England Manchester United ndie kachukua ubingwa wa Uingereza mara nyingi (x20)Mbn Liverpool ana CL nyingi (6) km Bayern kwa nn asiwe yeye ndiye mkubwa.
Naona uneshindwa kujibu swali ngj nikubadilishie, Arsenal na Aston Villa ipi ni timu kubwa
Kwahiyo walioandika kwmb utd ni kubwa kuliko Bayern wamekosea?Manchester United versus Bayern Munich hapa factor determinant ni UCL
Ok Barcelona na Liverpool ipi tm kubwa zaidiKwa England Manchester United ndie kachukua ubingwa wa Uingereza mara nyingi (x20)
Liverpool yeye anakuwa wa pili kwa ubingwa mara 19
Liverpool kubwa kuliko BarcaOk Barcelona na Liverpool ipi tm kubwa zaidi
Wamekosea tunaangalia makombeKwahiyo walioandika kwmb utd ni kubwa kuliko Bayern wamekosea?
Leta ushahidi.Liverpool kubwa kuliko Barca
Wakati Liverpool anachukua UCL ya 5 Barca anazo mbili
Liverpool amechukua 5th UCL mwaka 2005 ,mwaka 2005 Barca alikuwa na UCL 2Leta ushahidi.
Mm naongelea 2020 na co 2005.Liverpool amechukua 5th UCL mwaka 2005 ,mwaka 2005 Barca alikuwa na UCL 2
Hata 2020Mm naongelea 2020 na co 2005.
Mbona Ole anaposema bodi imemtendea haki huwa unabisha?..iweje kwenye swala la Mason umuamini 100pc kuwa ni injury na sio kuadhibiwa?
Mkuu mbn unaongea vitu vya kichwani kwako pasipo evidence? Nimekuomba ulete ushahidi unaoonesha Liverpool ni kubwa kuliko barca huleti unabaki kuongea kulingana na unachoamini, hatutafika kwa style hiyo mkuuHata 2020
Liverpool UCL x6 versus Barca x5
Mafanikio ya kimpira kwa klabu ni yepi?Mkuu mbn unaongea vitu vya kichwani kwako pasipo evidence? Nimekuomba ulete ushahidi unaoonesha Liverpool ni kubwa kuliko barca huleti unabaki kuongea kulingana na unachoamini, hatutafika kwa style hiyo mkuu
Unaongelea mafanikio au ukubwa?Mafanikio ya kimpira kwa klabu ni yepi?