The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
We nae wacha ujinga, mchezaji kuanza inategemea na falsafa za kocha, kuna wachezaji wangapi pale psg walionekana hawafai utd lkn wanapata namba pale psg?Tulia wewe dawa ipenye kunako, hiyo front3 yenu hata namba mazoezini hawapati pale farmer club psg,
Huyu si alisugulishwa hadi mazoezini na kwenu ni tegemeoView attachment 1609168
Pia factors katika Ukubwa wa timu ni makombe na ubabe uwanjani bwashee ,halafu Uingereza timu zinabebwa na lugha tu sababu lugha ya kiingereza ni lingua franca ya duniaUnapoambiwa Man utd ni team kubwa zaidi duniani muwe mnaelewa
The Top 15 Biggest and Most Supported Football Teams in the World
Kumbe ulikuwa hujui Manchester utd ni nani ss leo ntakuonesha thamani halisi ya utd, pita hapaFuatilia mabango ya jezi kifuani pesa zake zikoje na Chevrolet wanalipaje na mabango ya Clubs kubwa zingine
Hata Bayern nae ana sponsors sana mno yawezekana hata anaipita Utd kwenye sponsors (I guess sina cover ya data)
Nimekupa facts so na ww toa facts tuuone huo ukubwa wa Bayern mbele ya man utdPia factors katika Ukubwa wa timu ni makombe na ubabe uwanjani bwashee ,halafu Uingereza timu zinabebwa na lugha tu sababu lugha ya kiingereza ni lingua franca ya dunia
Sasa timu hata kwa Sevilla haifui dafu hahaahhaah ufananishe na Giant ambae ana makombe mengi zaidi na anaubabe uwanjani hahaahhaah
Na hapa wameongelea the most lucrative sponsors na co many sponsors, ila wangeongelea many sponsors basi hakuna team yenye many sponsors duniani hapa km man utd ukitaka ushahidi nikupeKumbe ulikuwa hujui Manchester utd ni nani ss leo ntakuonesha thamani halisi ya utd, pita hapa
The 10 teams with the most lucrative kit sponsorship deals in football
Kwani mkuu haiwezi kuwa ni kweli huyu dogo ana miss-behave?Media zimehamisha goli kutoka kwa Ole na Bruno kwenda kwa Greenwood na uongozi.
Kikubwa halitakiwi kukosekana jina Manchester united kwenye magazeti.
Utd ndiyo team kubwa duniani km ulikuwa hujuiPia factors katika Ukubwa wa timu ni makombe na ubabe uwanjani bwashee ,halafu Uingereza timu zinabebwa na lugha tu sababu lugha ya kiingereza ni lingua franca ya dunia
Sasa timu hata kwa Sevilla haifui dafu hahaahhaah ufananishe na Giant ambae ana makombe mengi zaidi na anaubabe uwanjani hahaahhaah
Hilo liko wazi, dogo ana the innocent personality ila ni balaaa.Kwani mkuu haiwezi kuwa ni kweli huyu dogo ana miss-behave?
Ole kasema dogo ana injury magazeti yakasema amemisbehave tumwamini nani ?Kwani mkuu haiwezi kuwa ni kweli huyu dogo ana miss-behave?
Ushahidi ndio kama huo nimekupa kwamba Bayern ana CL 6 Man ana 3Nimekupa facts so na ww toa facts tuuone huo ukubwa wa Bayern mbele ya man utd
Injury aliyosema Ole inaweza kuwa kisingizio tu..Je club ikimsuspend kwa muda huyu dogo,Ole unadhani atatuambia kuwa tumemsuspend kwa muda kwa kumissbehave?Ole kasema dogo ana injury magazeti yakasema amemisbehave tumwamini nani ?
I choose to believe Ole
Kwanini uamini magazeti ambayo 90% ya taarifa dhidi ya united huwa ni speculations tu ?Injury aliyosema Ole inaweza kuwa kisingizio tu..Je club ikimsuspend kwa muda huyu dogo,Ole unadhani atatuambia kuwa tumemsuspend kwa muda kwa kumissbehave?
Ok ngj nikuulize swali, hv pale England ipi ni team kubwa kuliko zote?Ushahidi ndio kama huo nimekupa kwamba Bayern ana CL 6 Man ana 3
Utachekesha kama unaongelea ukubwa kwa factor za Nje ya dakika 90 sababu mpira ni dakika 90
Skysport ni chombo cha kuaminika na huwa wanatabia ya kulinda maslahi ya wachezaji wa kiingereza..so ukiona mpaka wamepublish hiyo taarifa ujue kuna ukweli ndani yake.Kwanini uamini magazeti ambayo 90% ya taarifa dhidi ya united huwa ni speculations tu ?
Hata walivyokuwa kule Iceland kalipo import demu wa kugegeda kama Southgate asingewafukuza na story zikawa published bado ungebishaKwanini uamini magazeti ambayo 90% ya taarifa dhidi ya united huwa ni speculations tu ?
Hapa pia unafanya speculation mkuuHata walivyokuwa kule Iceland kalipo import demu wa kugegeda kama Southgate asingewafukuza na story zikawa published bado ungebisha
Unaiamini skysport kuliko Ole ?Skysport ni chombo cha kuaminika na huwa wanatabia ya kulinda maslahi ya wachezaji wa kiingereza..so ukiona mpaka wamepublish hiyo taarifa ujue kuna ukweli ndani yake.
Mbona Ole anaposema bodi imemtendea haki huwa unabisha?..iweje kwenye swala la Mason umuamini 100pc kuwa ni injury na sio kuadhibiwa?Unaiamini skysport kuliko Ole ?
Sio speculation..najaribu kukuonyesha kuwa kuna muda wachezaji wanavunja sheria ila Club zinawalinda..ila kuna sehemu timu hazivumilii hasahasa national teamsHapa pia unafanya speculation mkuu
La bodi liko obvious kwamba haijanunua wachezaji.Mbona Ole anaposema bodi imemtendea haki huwa unabisha?..iweje kwenye swala la Mason umuamini 100pc kuwa ni injury na sio kuadhibiwa?