Maguire wanasema hadi game ya Newcastle alikuwa na injury alipata national teamKwanini hawatakuwepo ?
Lindelof na nani sijui mana bora hata Rojo kwenye kikosi cha UEFA angekuwepo angesaidia na Lindelof ila bahati mbaya kwenye kikosi hayupoBailly hayupo?..Kesho tutachezaje?..Tuanzebe or Mengi?..
Kama Tuanzebe hatoanza basi inabidi tu Lindelof aanze na Shaw (RCB)..Then Telles akichafue LB..sema hawa CB wote wafupi,mipira ya juu itatutesa sanaLindelof na nani sijui mana bora hata Rojo kwenye kikosi cha UEFA angekuwepo angesaidia na Lindelof ila bahati mbaya kwenye kikosi hayupo
Mkuu tuna CB wawili tu kwa sasa kwenye game ya keshoKama Tuanzebe hatoanza basi inabidi tu Lindelof aanze na Shaw (RCB)..Then Telles akichafue LB..sema hawa CB wote wafupi,mipira ya juu itatutesa sana
Maguire na Cavani ndio ipo confirmed hawapo ParisBailly hayupo?..Kesho tutachezaje?..Tuanzebe or Mengi?..
Kwenye press pia ole kasema Bailly na Greenwood hawaja travelMaguire na Cavani ndio ipo confirmed hawapo Paris
Bailly tetesi tu
Duh balaa....Kwenye press pia ole kasema Bailly na Greenwood hawaja travel
Hehe hilo ndiyo kosa lenyewe mkuu.Katika hali ya kawaida alikotutoa ni mbali kwa kikosi kilichokuwa hali mbaya sana.
Last season niliamini Ole asingefika December kwa matokeo mabovu lakini alitoboa.
Kilichonipa matumaini ni namna alivyofanikiwa kuzifunga timu kubwa kubwa karibu zote isipokuwa Liverpool kwa kikosi dhaifu kama kile.
Tactically sioni kama Ole ana mapungufu but ana Laissez faire attitude ambayo imeathiri fighting spirit ya timu.
Kila la kheri mkuu, najua yote ni kwasababu unataka kulipa fadhila.Anti Ole wengi wanataka aondoke kwa sababu hana tactics kitu ambacho mimi nakataa.
Hv kesho Cavani atakuwepo auuu....
Pogba mwana sn pia ana roho ya kitanzania sema basi tu.