Mkuu unasema kutopata matokeo as if tumecheza mechi za kutosha tumezingua.
Mnasahau timu toja january mwishoni si wadogo si wakubwa tumewafunga wote timu imetoka chini hadi nafasi ya 3.
Mpe kocha hata miezi miwili kwanza uone kama kweli hao wachezaji wameshuka viwango.
Miaka kibao fergie anaanza vibaya na baadae tunabeba ubingwa,