Hata kama ilimchukuwa miaka 10 ,,lakini tangia mwanzo alionyesha ana kitu cha ziada kuwapa spurs kama akipewa muda.Ilimchukua miaka mingapi Pochetino kuwa na timu ya ushindani pale Spurs ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
At least tuta enjoye burudani ,kuliko kukosa vyote.Kama mnataka mwalimu wa kuwapa vikombe Pochetinno ana muda mrefu kwenye career kuliko Ole na hana hata kombe la mbuzi.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Priority kwa msimu uliopita haikuwa EUROPA ilikuwa kurudisha timu kwenye UCL he did that.Hizo big matches unacheza ngapi kwa msimu?
Kati ya mechi 38 za ligi unakutana na mechi kubwa almost 10 tu. Unashinda hizo kubwa, unapoteza au kudraw 28 za timu ndogo.
Kama kuwafunga makocha wakubwa ni ubingwa basi Ole anatakiwa apewe tuzo.
Kocha bora ni yule anayejaza makabati silverware kwa gharama yeyote.
Mou aliachana na EPL akakomaa na Europa kwa gharama zozote na tukapata.
Ole bado anabahatisha. Hata uwanjani unaona tunacheza kwa kubahatisha au kutegemea mood ya wachezaji ipoje.
Mbona hata morinho alichukuwa europa na akatimuliwa next season?Priority kwa msimu uliopita haikuwa EUROPA ilikuwa kurudisha timu kwenye UCL he did that.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hili la kushuka viwango vya wachezaji & kucheza mpira mbovu, ndilo ninalo unga mkono wanaosema Ole kilaza.Mbona hata morinho alichukuwa europa na akatimuliwa next season?
Van gaal alichukuwa FA na bado akafukuzwa..
Timu haichezi vizuri..
Kila siku inarudi chini,,
Viwango vya wachezaji vinashuka kila siku...
Tatizo ni ole,,
Bila kumfukuza mapema anaweza kusababisha team nzima ikashuka Kiwango..
Hilo ni tatizo la mashabiki wa man u duniani kote ,,Hili la kushuka viwango vya wachezaji & kucheza mpira mbovu, ndilo ninalo unga mkono wanaosema Ole kilaza.
Kupoteza game ni kitu cha kawaida kwenye soccer, lakini hata mpira tunaocheza ni mbovu? hapo ndipo nakosa imani na kocha.
Angalia ufundishaji wa Arteta.
UCL unaenda kupata nini zaidi ya kurudishwa hatua za awali kabisa?Priority kwa msimu uliopita haikuwa EUROPA ilikuwa kurudisha timu kwenye UCL he did that.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ha ha haJukwaa sasa limechangamka.
Hoja nzito zinashushwa, safi sana.
Tuendelee kupiga story manake uwanjani tumeshindwa kuonesha kitu.
Leo tunaongelea usajili wa CB. Kweli? Yani tutoe £80M wa mtu tutakaye mtafutia replacement baada ya msimu mmoja tu?Tukiachana na mapungufu ya bodi na Ed Woodward hii timu toka alivyoondoka Fergie ni kama hawatrain vizuri,atleast kipindi cha LVG mpira ulikuwa unapigwa,yaani unaona philosopy yake..Kaja Moyes tukawa utopolo,kaja Mourihno na soka lake la kubahatisha bahatisha haeleweki kabisa ili mradi timu inapata ushindi,huyu Ole ndo kabisa haeleweki anataka timu yake ichezeje..Ed kama utamsack Ole basi pia nafasi ya Director of Football iletwe na ijazwe na mtu wa mpira kweli kabla hata ya kuappoint kocha mwingine.
Inaonekana hata intensity ya mazoezi bado ipo chini maana wachezaji hata fiziki zao bado sana..
✓Maguire ametoka leicester ambako alikuwa kitasa,mfungaji wa magoli kwenye mipira iliyokufa n.k..kaja United kacheza vizuri kidogo na baada ya hapo amekuwa utopolo
✓AWB gemu zake za mwanzo alikuwa ni mtu anayejiamini na hakuna mtu alikuwa anampita..now days upande wake umekuwa utopolo mfano hakuna
✓As a matter of fact Fernandes wa February na March sio huyu tunayemuona sasa..Na kuna tetesi ile gemu ya spurs half time aliwasha moto balaa kwa kuwamind teammates na Manager pia ndo maana hakurudi second half
✓Daniel James gemu za mwanzo alikuwa unstopable,ila kwa sasa karudi kuwa Engllish League 1 player
✓Uwezo wa wachezaji wetu unaporomoka day by day
°°°°It seems like Ole,Carrick,McKenna na Phelan hawaleti vitu vizito kwenye meza°°°°
"""Kwa kikosi hiki tulichonacho naamini tukipata kocha anayejua soka ni lazima timu icheze kama timu inayoweza kutawala ulaya soon""
For the meantime tujifiche kwenye kivuli cha timu kukosa fitness,then wachezaji wakipata fitness tuambiane