Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Well said
 
Kuna watu wana utani wa ngumi.
View attachment 1594760
Huyu maguire tumepigwa aisee, ndio maana hata usajiri wa sancho ulivyoshindikana sijachukia bcoz tungepigwa tena, man utd inaitaji transformation hadi kwenye scout, yaani man city na chelsea wana scout wazuri kuliko litimu kubwa lenye fans base dunia nzima kama man utd, its a joke
 
Pamoja na mapungufu yoooooote ya Ed na Glazers, lazima tukubali kuna tatizo kwenye benchi la ufundi

First 11, subs £€$View attachment 1594822
Hiki hiki kikosi akipewa kocha sahihi like Carlo Ancelot tunakua title contender

Kocha bora ni pa1 na kutumia resources ulizonazo kuleta matokeo +

Sasa hivi OGS anajificha kwenye kivuli cha 1st transfer target zake woodward ajamletea, na nashangaa kuna baadhi ya member umu kama radika nao wameingia ktk huu mtego

Ebu jaribu kufunga macho alafu fikiri OGS apewe Leeds, Astonvila au hata Wolves si atazishusha daraja huyu?
 
Kuna makocha wangapi duniani wanapata privilege ya kupata fursa ya kufundisha wachezaji wa gharama hiyo?

Isitoshe karibu wachezaji wote tulionao, kwenye timu zao walikuwa ni key players, kuanzia kipa hadi namba 11
 
Tunaelekea kuwa kama mashabiki wa Liverpool kwenye ule uzi wao;

Liverpool halisi na sijui Liverpool gani

✓Mashabiki wa Ole be like"Hakupewa first target zake"

✓Martial fans"He is deadly finisher hakuna wa kumweka benchi"

✓Cavani fans"Martial avue hiyo jezi namba tisa haraka sana"

✓Ed Woodward fans"Tumeshatoa hela za kutosha makocha ndo wanaotuangusha,dawa ni kuwa-sack tu"

My view;

°°°°Tuna kocha mwenye tactical ability ndogo...pamoja na benchi lake,they are all bang average

°°°°Tuna bodi ambayo haipo serious...
 
Pia ieleweke sio kila kocha huwa anapata first target anapohitaji

Mfano Pep first target yake alikuwa Fred ikashindikana, akamfuata Jorginho ikashindikana

Pep msimu huu alimtaka zaidi Koullibally ikashindikana, akampata Diaz

Klop alimtaka sana Wener, akina Jose walimtaka Milk wakampata Vinicious, Barca walimtaka Depay, Wijnaldum lakini ikashindikqna

Hakuna kocha ambaye huwa anapata first targets zake kwa 100%
 
Ole ameshindwa kazi, ujanja ujanja wa visingizio hauna nafasi sana

Tuliambiwa awe na timu yake, amekuwa na wachezaji anaowataka yeye (kwa kusajili na kuondoa asiowataka)

Isitoshe ameshatuambia kwamba "actually the board is supporting me massively"
, sasa kwanini tuangaike na bodi inayomsapoti Ole
 
Lkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Wkt Leicester anachukua ubingwa alikuwa na center half ya huth na wes Morgan..... Maguire alikuwa bado hajasajiliwa
 
EPL kuna KOCHA mwingine ila asemwi sana na huyo ni Graham potter wa Brighton.....aisee yupo vzuri sana timu yao inacheza vzuri sana ingawa wanapoteza....nataman siku aende timu kubwa akiwa na wachezaji wazuri zaidi tuone mbungi lake
Vipi kuhusu kocha wa Burnley ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Timu haikuwa na mechi fitness kwa kutofanya pre season kwa hiyo kufanya vibaya hizo mechi it was obvious.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kama naanza kuwaelewa wale wanaosema Ole ni kocha wa kiwango cha chiniii.
Nampa mechi 2, kisha nitajua nisimamie wapi? Nimuunge mkono ama nimkatae, kwa sasa sina msimamo kamili.
Tufanye hizo mechi mbili zote kafungwa,
Utamfanya nini?
 
Ole hajalalamika popote kuwa amekosa first targets zake ndiyo maana anafanya vibaya.

Ole ameendelea kusistiza kuwa he is ok with the squad aliyonayo na watapambana kufanya vizuri.

Kwahiyo hoja yako hapa ni irrelevant kwa sababu mwalimu hajalalamika kukosa targets zake.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Lkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Kama kumbukumbu zangu hazinisaliti,beki wa kati walikuwa Morgan na Huth yule mjeumani reject ya chelsea
 
Ukizungumzia tactical ability kwa Ole mimi nakupinga.

Ole ameshawafunga makocha wote wakubwa EPL nadhani ukiondoa Klopp tu tena akiwa na squad mbovu zaidi last season.

Tactical brilliance ya mwalimu huonekana kwenye mechi zinazohitaji ufundi mwingi hasa big matches Ole did that to his best last season akiwa na kikosi kibovu kuliko cha sasa.

Ole ana mapungufu yake as a manager but not tactical brilliance.

Mapungufu nayoyaona mimi kwa Ole he is not a leader material pia anapenda Laissez faire Attitude.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu yoyote umeona Ole akilalamika kukosa first targets zake ?

Tusimlaumu kea vitu ambavyo hajavifanya

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Now,explain to me how we lost a chance to play even one final from three semi's last season.

Na unadhani Ole ataendelea kuwacharaza wakubwa kama msimu uliopita?
 
Lkn ingefaa tujiulize huyu Maguire c ndo yule aliyeipa Leicester City ubingwa na akacheza kwa kiwango cha juu kabisa, ss inakuwaje hapa ionekane tumepigwa? Je ni kweli hajui mpira kwa kiwango hicho au anakosa coaching nzr km aliyoipata Leicester?
Maguire hakuwa sehemu ya squad ya Leceister iliyotwaa ubingwa.

Defence ya Leicester kipindi hicho ilikuwa na
Robert Huth
Weiss Morgan (captain)
Christian Fuchs
Danny Simpson
Liam More

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…