Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kina ighalo!
 
Unataka kusema katika ligi na mashindano yote hii timu ilikuwa inakutana na wakina Norwich City F.C. tu haijawahi kucheza au kukutana na hizo timu?
Tunazungumzia kwa hali ya sasa mliyonayo
 
Nimecheka sana kuna mshabiki sijui ni wa Arsenal? Anajaribu kutu-direspect ila ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna kocha asiyeogopa kucheza na Manchester United regardless ya mwenendo wetu wa sasa. Wengi wanajua pengine tunaweza kuzindukia kwao. Simba hata awe amepigwa risasi za kichwa mara kumi na kaanguka chini bado utaogopa kwenda kuhakikisha kama kafa kweli au bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…