Kama umeamua kumpinga sawa. Lakini Ballon D'or kuna kipindi zilikua ni za kibiashara zaidi. Now ni lini Lewandowski alikua flopUmewah kumuona kwenye top 3 kwa misimu mingap kwenye tuzo za dunia kwa wachezaj bora?
Kama umeamua kumpinga sawa. Lakini Ballon D'or kuna kipindi zilikua ni za kibiashara zaidi. Now ni lini Lewandowski alikua flop
Mmetumia sana 4 3 3. Hii 4 2 3 1 imekuja kua kama rasmi tangu Donny afike.Tumeanza kutumia 4 2 3 1 toka msimu uliopita na hata aliposajiliwa Bruno tulitumia mfumo huo huo mbona Bruno hakuonekana miyeyusho ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na hilo sijakataa mimi nikamtaja Lewandowski kama miongoni mwa ambao wamejitahidi kua na consistency.Point yangu kule juu ni kwamba mess na ronaldo ndio ambao hawajah kuwa chini ya kiwango umechanganya mambo
Na hilo sijakataa mimi nikamtaja Lewandowski kama miongoni mwa ambao wamejitahidi kua na consistency.
Yaani hii ratiba ukiwa na kikosi finyu ndiyo unakua unachagua kipaumbele . Ama ubonyezwe kwenye ligi au uefaNinyi manyumbu mtatoboa hapo?
Jaribu kuwa na aibu basi mimi naangalia karibu game zote za united Solkjaer hajawahi kuacha kutumia double pivot na striker mmoja.Mmetumia sana 4 3 3. Hii 4 2 3 1 imekuja kua kama rasmi tangu Donny afike.
Hizo timu zote zinaogopa kukutana na United kuliko united wanavyoogopa kukutana nazo.Yaani hii ratiba ukiwa na kikosi finyu ndiyo unakua unachagua kipaumbele . Ama ubonyezwe kwenye ligi au uefa
Jaribu kuwa na aibu basi mimi naangalia karibu game zote za united Solkjaer hajawahi kuacha kutumia double pivot na striker mmoja.
Ni mechi chache sana ambazo hatukutumia 4 2 3 1 msimu uliopita.
Msimu ambao Solkjaer alitumia 4 3 3 ni ule ambao alikuwa interim manager.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
4 3 3 msimu uliopita Solkjaer hakutumia kwenye mechi yoyote except game ya Liverpool pale Anfield tulibadili mifumo mara tatu ndani ya dakika 90.433 ulimpa sana matokeo alipobadili kazi ikaanza ya vichapo
Ninyi manyumbu mtatoboa hapo?
Wakat mnacheza na Barcelona alikua interim manager?Jaribu kuwa na aibu basi mimi naangalia karibu game zote za united Solkjaer hajawahi kuacha kutumia double pivot na striker mmoja.
Ni mechi chache sana ambazo hatukutumia 4 2 3 1 msimu uliopita.
Msimu ambao Solkjaer alitumia 4 3 3 ni ule ambao alikuwa interim manager.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Umenielewa visivyo. Sijasema kuogopana hapo. Sasa kocha atarisk mchezaji muhimu kwa newcastle leo halafu siku 2 mbele ana mechi ya uefa?Hizo timu zote zinaogopa kukutana na United kuliko united wanavyoogopa kukutana nazo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nimekwambia msimu wake wa kwanza ambao alianza kama interim Mananger alitumia 4 3 3.Wakat mnacheza na Barcelona alikua interim manager?
Wachezaji wetu wote ni Muhimu ndiyo maana tulimfunga PSG nyumbani kwake wakati wachezaji watano wa first eleven wakiwa majeruhi.Umenielewa visivyo. Sijasema kuogopana hapo. Sasa kocha atarisk mchezaji muhimu kwa newcastle leo halafu siku 2 mbele ana mechi ya uefa?
That's the spirit. Haya tusubiri tuone.Wachezaji wetu wote ni Muhimu ndiyo maana tulimfunga PSG nyumbani kwake wakati wachezaji watano wa first eleven wakiwa majeruhi.
Tuna squad depth kubwa kuliko Arsenal na Totenham mpaka wengine hawapati nafasi ya kucheza.
Kwenye midfield pekee tunawachezaji 10 striking force tuna wachezaji nane.
Sasa hizo risks ni vitu ambavyo haviepukiki uwanjani but tutapata matokeo tunayoyataka.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Swali jibu lake lilitakiwa liwe "Ndiyo" au "Hapana"Nimekwambia msimu wake wa kwanza ambao alianza kama interim Mananger alitumia 4 3 3.
Msimu uliopita hakutumia huo mfumo sasa wewe unasema anatumia 4 2 3 1 ili Donny apate nafasi wakati msimu uliopita wote tumetumia 4 2 3 1?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hatukuwahi kubadili mfumo katika msimu uliopita except mechi ya Man city Etihad na Liverpool AnfieldSwali jibu lake lilitakiwa liwe "Ndiyo" au "Hapana"
Mechi kabla haijaanza timu huonyeshwa formation zao. Unless canal + iwe na makengeza kipindi ambacho Martial majeruhi mlikua mnatumia formtaion gani?
Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.That's the spirit. Haya tusubiri tuone.
Kua na wachezaji wengi mpaka wengine hawachezi inamaanisha usajili haukujua unataka nini.