Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani nyie PUNDA mpaka sasa bado mmelala tu mna ujasiri sana.
 
Man U jana imepiga mashuti 5 tu. Mawili on target. Kocha mkabaji Mourinho kamiliki mpira kwa zaidi ya 60%.

Ole bado anafanyia majaribio formation ya 4 2 3 1. Watu waliuliza De Beek atacheza wapi? Hili swali binfasi niliona la kawaida ila sasa naona Ole anavyostruggle.

Hii timu mara ya mwisho kupigwa 6 ilikua na Man City. Nadhani 2011 au 2012 leo yamejirudia na kila shabiki ana stori yake ya kutia huruma.

Arsenal wenzangu kuna mwenzetu alisema ni vyema tukakutana na Man U tukiwa na Partey na Aouar mi nikajibu hawa wanafungwa bila hao wawili. Simply kwakua angalau tuna mid na defense inayojielewa kuliko wao.

Striker yetu pia ni nzuri kuwazidi. Hii timu ni useless.
 
Patrice Evra amesema.

Ushauri wangu kwa mashabiki wa Man u. Nunua playstation mnunue Jadon Sancho au hata Messi hii timu kwa sasa hakuna anayefaa kuichezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…