Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mngeshinda nyie , kwan CV ndio inacheza ,hao wanafunguka wameshaamini ligi ni zao. Kumbe watu wamebadilika

Siumeona Leo umekuka 6 hapo hapo kwako

Kumbe unajua wanafungika nini kinazuia asenane asifungwe? Tungeshinda sinia una maanaisha?
 
Ateta ni kocha bora zaidi ya Klopp? mpira unadunda Aaron, tunza sana akiba ya maneno ndugu yangu.
Ungekuwa na Akili ungeelewa namaanisha nini ,

Klopp na Pep ni makocha wakubwa ,wanaamini ligi wameishika so Wanafunguka wakiamini wanaogopeka ,

So kwasasa kuna Surprise ,
 
Kwan pep Kafungwa 8


Mnaumwa nyie ,

Binafsi sijaona kipya toka kwa arteta sema ni mourinho aliechangamka anapiga ukuta wachezaj wote wanajaa kwenye box anavizia na kaunta kwisha hamna gem kubwa kafunguka zote anavizia had kwenye matuta kanavuka ila sio kacheza mpira mkubwa wap na wap na ww
 
Kipya anacho Sosha ndio maana amekula 6 home

Huyo Arteta alikubonda 2-0 ,umejisahaulisha tu na Mpira mkubwa juu,
 
Kipya anacho Sosha ndio maana amekula 6 home

Huyo Arteta alikubonda 2-0 ,umejisahaulisha tu

We jamaa arteta kumfunga sosha 2 au kufungwa 6 haina maana kocha wako ni mzur unataka kusema pep ni kocha mbovu kwa kuwa kafungwa na arteta?
 
Unasema?
 
We jamaa arteta kumfunga sosha 2 au kufungwa 6 haina maana kocha wako ni mzur unataka kusema pep ni kocha mbovu kwa kuwa kafungwa na arteta?
Wewe Acha ubishi umepigwa 6 hizo nguvu unatoa wapi usiku huu
 
Wakuu poleni huyu Moreen anajua siri zenu zote .... .... ... angalia chacha mambo junguluka. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Timu ya mchangani mnahangaika sana bawaza nyie washina manat siku mshinde tano kwetu si jf atashek maana mmeshinda sinia na birika kelele balaa
Unaongea kwa uchungu, eti sinia Mara birika ,hivi soseji kashinda nini
 
Kwa pamoja yamegongwa goli 13
 

Attachments

  • 1601847704676.jpg
    86.4 KB · Views: 4
We jamaa arteta kumfunga sosha 2 au kufungwa 6 haina maana kocha wako ni mzur unataka kusema pep ni kocha mbovu kwa kuwa kafungwa na arteta?
Sasa Sosha unamfananisha na Arteta ? Wewe kiazi kweli Arteta ana makombe mawili sosha ana nini zaidi mnapokea vipigo vya aibu nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…