Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,222
bayern kama Juve wanazo hizo strategy ila pia wanachukua mastaa vile vile hata kama hawafit mifumo yao, ni timu inayobalance biashara na soka. wana Flop wao kina Renato sanchez, gotze, podolski, Benatia etcradika,
Nimeona hapo juu kuna mahala umehamaki sana Bayern kumtaka mchezaji kama Callum Odoi labda kama ulikuwa unatania ila kama ulikuwa serious kuna kitu kikubwa sana ambacho unachanganya yaani mchezaji wa kuja kujenga timu vs mchezaji wa kuja kuongeza hamasa ya timu (au morali). Mchezaji wa hamasa ktk timu mara nyingi hununuliwa kwa kufanya head hunting hii ni direct approach benchi la ufundi linasema tunamtaka mtu fulani yupo mahala fulani hii ndiyo njia hutumika sana kibiashara na ndiyo hufurahisha mashabiki kwa timu zenye fan base kubwa kama Manchester United mara nyingi huleta watu wenye majina zaidi.
Na njia ya pili ni scouting-appproach based strategy hii unawapa assignment watafuta vipaji wenu kila kona kuleta majina kadhaa kwa pecking order kwa nafasi husika kwa sifa ambazo benchi la ufundi limependekeza. Hii njia kwa uchunguzi wangu binafsi ndiyo njia bora zaidi maana mnasajili watu wenye sifa sahihi zaidi haina business motivatives wala kufurahisha mashabiki ila inaleta wachezaji watakao fanya vizuri zaidi uwanjani. Manchester United tulifanikiwa sana na hii njia kwa miaka yote tokea Fergie awe kocha tulipofanya head hunting mara nyingi hatukufanikiwa (mf. Sebastian Veron), mara nyingi tulisajili wachezaji kwa recommendations za ma-scout na walifanya vizuri sana mf. Ronaldo, Ruud Van Nestrooy, Carlos Tevez, Chicharito, Vidic, Evra wote hawa wamekuja kujulikana zaidi Manchester United ila kabla ya hapo hawakuwa wachezaji wa kutisha sana au mvuto wa kibiashara.
Nikirudi kwenye mfumo wa usajili wa Bayern, hawa wapo kama Liverpool nilishaandika juzi jinsi Liverpool walivyo kwa sasa, yaani wanafanya strategic move sokoni wanaangalia wapi pana mapufungu na wanafukia kwa kuangalia sifa zaidi ya mtu anayenunuliwa kwa nafasi husika na sio jina la mtu anayefanya vizuri ktk nafasi fulani. Na ndio maana utaona Liverpool na Bayern hawafanyi sajili ambazo zitauza magazeti ila wanalenga capacity deliverance ya mchezaji na sio kufahamika kwake kama sisi tunavyoingia sokoni japo na wao huwa wanachanganya na head huting pia. Ndio maana utaona sisi tume-stuck na Jadon Sancho kwa ssb tunatumia head-hunting approach wa kati in reality kuna wachezaji wengi sana duniani wapo wenye vipaji kumzidi huyu dogo ila hawana media coverage mf. mchezaji kama Haaland amefahamika baada ya kucheza UEFA mwaka mmoja na nusu uliopita.
radika,

Already deal done mkuu..2 years contract.,[emoji2765] Man United are closing on Edinson Cavani deal!
[emoji2765] Agreement reached on personal terms until 2022.
[emoji2765] Last details to be sorted about agents fee [huge amount - €10m asked] then the deal will be done.
[emoji817] #MUFC see Cavani as “great opportunity”.
[emoji736] Here we go expected soon. NO Luka Jovic
Kwamba mshabiki wa Man U anaiunga Mkono leeds?Leeds...... naahidi kuwaunga mkono msimu huu...Wachezaji wote wanapambana uwanjani....beki zinachezea mpira na kuziba hatari...winger zao mbili, jezi no 20 na no 7 ni kipengere japo wote wametokea benchi game na City leo...Wako technical...pass murua za visigino....hadi Uzi wao mweupe swaafi kabisa....Isipoharibu hii team itanipunguzia stress za Ole guna na Deadwood wake
Shabiki maandazi pekee ndy anahama timu..ikifanya vibaya..Kwamba mshabiki wa Man U anaiunga Mkono leeds?
Yes nitaiunga mkono Leeds....Sio dhambi wala kosa kisheria.....Nitaiunga mkono, sio kuwa shabiki wakeKwamba mshabiki wa Man U anaiunga Mkono leeds?
Kuunga mkono sio kuhama timu...Hayo ni maneno yako na tayari ushaniita Mandazi.....Mbinguni utapaskia tuShabiki maandazi pekee ndy anahama timu..ikifanya vibaya..
Shabiki wa kweli hubaki kwnye timu no matter wht
Mkuu mshabiki anabaki shabiki,,,mpenzi wa soka ndy anapenda timu yeyote anayovutiwa nayo...hata Norwich cityKuunga mkono sio kuhama timu...Hayo ni maneno yako na tayari ushaniita Mandazi.....Mbinguni utapaskia tu
Japo walishuka daraja Leeds ni kama Liverpool, Bora hata ushabikie Man City ila sio Leeds maana hizi timu mbili haziendi kabisa.Yes nitaiunga mkono Leeds....Sio dhambi wala kosa kisheria.....Nitaiunga mkono, sio kuwa shabiki wake
Good news.[emoji2765] Cavani and his agents will be in UK tomorrow to complete the agreement on agents fee [€10m asked].
[emoji2765] Personal terms ok until June 2022.
[emoji2765] Here we go’ expected tomorrow to finalize agreement > complete medicals.
[emoji817] #MUFC
Mkuu mimi ni mfuasi na shabiki kindakindaki wa Manchester United. Nina jezi za kina York, Cantona, Beckham na Vernistrooy hadi leo kabatini...Sharp, Vodafone, Aon, AIG..nk.Nimeisifia Leeds kwa ubora wao katika kipindi ambacho team yangu inavurugwa na wapuuzi kadhaa pale kwenye uongozi. Hii ni sawa na kuvutiwa na mchepuko kwa upuuzi wa mke wa ndani, which is normal for a complete MAN.Mkuu mshabiki anabaki shabiki,,,mpenzi wa soka ndy anapenda timu yeyote anayovutiwa nayo...hata Norwich city