Si uliona kule far-east kazi waliyokuwa wanafanya kusign autographs tu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, mi napenda moyes amkomalie Cesc tu .... ..... ... ili atinge Emirates .... ..patamu hapo!
BTW mkataba wa Cesc kama akiuzwa kwa timu yoyote ile Gunners wanachukua 50% ya mshiko, kwa hiyo mwambie Moya aweke dau si chini ya £50 million hiyo ndio bei Gunners watatoa kama wakimhitaji lakini akienda Manure utajijua menyewe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Vipi dozi zenu za pre season bado zinaendelea???
soma vizuri mkataba....mnapata 50% ya hela iliozidi thamani mliyowauzia barcelona....arsenal wana haki ya kwanza kumnunua fabregas for 35m euros[iwapo barca WATAAMUA KUMUUZA]....arsenal wakishindwa dau barcelona wanamuuza lets say 40m euros arsenal atapata 50% ya 40-35=5m euro hence only 2.5m euro.....however kuna bonus nyingi arsenal anapata kama 6m euro iwapo barca watawin 1CL,2 la liga in 3 seasons....
Cesc Fabregas Contract & Clauses – Pay Attention | The Gooner In Barcelona
Hivi nyinyi mashoga mlishinda mechi ngapi na kufungwa ngapi kwenye pre-season? Weka datas hapa tu-compare au basi ni maloloso tu yale yale ya ushoga? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Chacha weye ndio unaamini huo mkataba wa kuchomolewa? Mimi ndio nina mkataba original wa kumuuza Cesc, hivi unafikiri prof. ana U-Prof wa kupewa kama mnavyopewa ninyi u-Sir etc. Gunners ndio wauzaji Cesc haendi kokote kule rejea Prof alivyosema alipokuwa Jpn na hivi juzi pale Emirates ... ... imekula kwenyu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
It would have been beneficial for you Mashoga fans to worry about Wine Romney not travelling with the team badala yake mnawanga na Gunners Phew! What a Yak!
BTW naona BJ ananyatia kajukwaa kenu chijui anampango wa kusepa maana tetesi zinachema hapendelei mambo ya ushoga ... ...lakini Mfarisayo na Ngongo aahhhhhh wao kama kawa ndio vinara wa ushoga.

naomba uweke huo mkataba original hapa kwenye thread....acha porojo......
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee then utatoa kiasi gani cha mpunga? Unafikiri kufanyiwa kazi bure bure tu. Kama unadhati kweli chema tukupe bei.
acha porojo...mimi nimekuwekea clause za huo mkataba,wewe unadai hauko sahihi una original,just prove me wrong weka huo wako original otherwise porojo tu...mkataba ndio huo hampati 50% ya selling price,mnapata 50% ya hela itakayozidi 35m euros.....
Nachikia mashoga wamekula mkong'oto leo wote wameunyuti khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna cha Inzi wala Belo ... .... ... Ngongo yeye keshatokomea madongo kwinama. ..... .... Fungie alisafisha ooops alichukua Brown envelopes zote chacha majuto Njukuuu! Ati Mfarisayo anajifanya anaangalia Golf phew! Since when?
Wewe Wacha1 ebu tulia!!!! Halafu hapa ulikuwa ukivuta nyota ama?
Game saa ngapi wadau,10 au 11 jioni?
Game saa ngapi wadau,10 au 11 jioni?
Saa 10 kamili kwa saa za east Africa