Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee ameongea kwa uchungu mnoo.
 
Evra katema nyongo sio mchezo
 
Nimesononeshwa sana na matokeo, katika Akili yangu predictition before the match nilijua tunampiga crystal palace mkono.

Kilichonipa moyo ni uwepo wa wachezaji wanaochezea another level? Kwa kwel nimeshindwa kuelewa

Vdb,pogba, Bruno walitosha kunipa imani lkn ikawa opposite
 
Ile mechi Pogba hakuna cha maana alichofanya. Pasi zake nyingi zilikuwa zimaishia miguuni kwa wapinzani.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka Glazers akupangie kikosi au kuamsha morali ya wachezaji uwanjani?
 
Mkuu tuna fanana mitazamo.
Hapo Grazza family na ED Wood ndio wenye matatizo.

Hao jamaa ni kama wawekezaji wa Madini, yani wanachukua madini na kutuachia mashimo tu.
Huhitaji kupewa Sancho uwafunge Crystal Palace.

Mou alikuwa na wachezaji haohao na akatupa Europa.
 
Unamuuza Lukaku kwasababu hafit kwenye mfumo.

Ila kiuhalisia mfumo wenyewe haupo, hauonekani na kama unaonekana basi ni mfumo mbovu kuliko.

Lukaku ni natural central striker, kumuuza ni makosa.
Mkuu mimi kama umenichunguza siku hizi hapa JF maswali yote ya kipumbavu siyajibu. Nadhani huyo jamaa hilo swali aliniuliza mimi nkaona nimpotezee tu
 
Nadhani LVG ndo alikuwa kocha sahihi kupokea mikoba ya SAF, C.V yake inaonekana.

Management ndo walizingua hapo.
 
Unamuuza Lukaku kwasababu hafit kwenye mfumo.

Ila kiuhalisia mfumo wenyewe haupo, hauonekani na kama unaonekana basi ni mfumo mbovu kuliko.

Lukaku ni natural central striker, kumuuza ni makosa.
Na kwa Mou nini kilimfanya asifunge hizo goli?
Amemuuza lukaku ndio kamuamini Martial 23 goals all compt...
Nini tatizo hapa?
 
Ni kweli mkuu. Na kocha anaejitambua huwa anakuwa na nguvu za kuamua aonavyo yeye inafaa.

Bodi ya arsenal walishakubaliana AMN auzwe ila kocha akasema laa. Lukaku kumuondoa ilikuwa ni kosa kubwa sana
Tumia resources ulizonazo kupambania kombe. Anajua wazi hatopewa wachezaji wote aliowataka, angehakikisha anaficha mapungufu ya team.

Kwanini Lindelof awe uchochoro leo na sio misimu iliopita? Rashford na Martial wamepunguza viwango kupita maelezo, Pogba sio wa kucheza hovyo hivi kuliko alipotoka Juve.

Wachezaji tuseme karibu wote wameshuka viwango. Na tatizo kocha ni Laissez Fair. Na wachezaji wanamuona kama mshkaji mwenzao.

Utashangaa msimu ujao wanawekwa sokoni, atataka wengine apewe.
 
Hata hao wapuuzi kina Lingard na Perreira wakipata kocha alie vizuri utawakubali wenyewe.

Gnabry wa Arsenal alikuwa tia maji, ila sasa anapiga mpira mpaka unamkubali.

Winger ya kulia pekee ndo tunahitaji mchezaji mpya. Ila hizo namba zilizobaki, kocha aumize akili mpaka apate matokeo.
 
Alipokuwa kwetu alifanya nini?
Kwa EPL Pekee:

Lukaku alicheza mechi 98 akafunga goli 40 kwa misimu miwili ya United.

Martial amecheza mechi 57 akafunga goli 19, kwa hiyohiyo misimu aliocheza Lukaku. Ukiongeza msimu ulioisha juzi, Martial jumla ya amecheza mechi 89 na goli 36.
 
narudia tena huyu kocha hata angepewa liverpool msimu ulopita asingebeba kombe au hata hangepewa liverpool jana asingewafunga chelsea, huyu kocha hana mbinu na hana ujuzi kiufund kutupa matokeo hata kidogo.
Wewe usitufokee. Unamkomalia kocha tu! As if humu ndani yupo edwood.
 
Na kwa Mou nini kilimfanya asifunge hizo goli?
Amemuuza lukaku ndio kamuamini Martial 23 goals all compt...
Nini tatizo hapa?
Unaongea kama mbuzi.

Kama amemuamini Martial kwanini atake kusajili striker wa kati tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…