Mkuu hili ndio tatizo tuko kujipa moyo lkn hawa wachezaji wengi wa utd co level yetu, unajua tuna michuano mingi so kwa wachezaji wa kiwango cha kupanda na kushuka au kutegemea ameamkaje km hao niliowataja ni shida, kwa mfano leo tunacheza na timu ndogo unaweza kuwaona watu ila wanamakosa mengi mno.