Mbona umekimbilia kutabiri hivyo?Huyu Alex telles ni bonge la LB ila kuja United haiwezekani hata kidogo labda maajabu ya YESU. Sancho,Thiago, Regulion, nafikiri tunakumbuka vizuri walikubaliana ila hakuna lolote lililotokea. Huyo haji united ila ataenda PSG. Maana bodi haitampa Pesa Ole akasajii.
Rodriguez effect.Everton jamani ni wauaji wapya
And Carlo AncellotiRodriguez effect.
1 na nusu usikuMan U tunaanza kutoa kafara saa ngapi?
Nimeshangaa kwa sababu maoni ya watu wengi wanadai sio mzuri sana upande wa kudefend, mara nyingi anakuwa "out of position"Hakuna sehemu utakayopata review nzuri ya mchezaji, ukienda YouTube huwezi kuona defending skills zake kwasababu watatumia muda wote kuonyesha magoli na assists zake. Na YouTube hakuna mchezaji mbaya wanaweka highlights nzuri tu kama ni kukaba wataonyesha skills kali tu sasa najiuliza kwanini umeshangaa kuwa vizuri defensively au kwakuwa ana-attack sana.
Ngoja nikaoge kabisa1 na nusu usiku
Mkuu Chifu leo Man u tunafungwa, halafu polisi walinisaidia kupata ile simu aisesio kwamba ameshindwa ndio wapo step hio sasa hv, ngoja tuone
Ushapata kazi?Kila la kheri Crystal Palace tuko pamoja.[emoji123][emoji123]
Kazi gani? Wewe ni nani unaniuliza?Ushapata kazi?
Ww c kuna mdau humu alikuambia umtumie CV akupe mchongo au ulipuuzia mkuu.Kazi gani? Wewe ni nani unaniuliza?