Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Solskjær: “Of course the three of them [Bruno, Pogba, Van de Beek] can start together, you’ve got Scott McTominay, Fred and Nemanja Matic in midfield as well, it’s not just about three players in a squad.”★


#GGMU



manutd |
 

Attachments

  • IMG_20200912_172508_452~2.jpeg
    34.8 KB · Views: 5
Crystal Palace ni timu ambayo mtu unaweza ukaiwazia makubwa halafu kitakachotokea utashangaa wao pia wanajiona kama spesho fulani hivi.

Man U atakua na game ngumu akicheza na Everton kuliko Crystal Palace. Palace sioni akishinda siyo kwakua Man U ni nzuri sana ila kwakua Palace ni ile ile inayopokeaga bakora za Man U huku Man U wakiwa wamejitanua kidogo.
 
Tottenham wanawaonea sana aisee.

Sajili mbili zote mlikua na uhakika nazo kaziingilia kibabe.
sidhani kama wametuonea
  1. madrid walihitaji kupunguziwa gharama za mshahara wa gareth bale
  2. madrid walitaka tuwakuzie mchezaji wao then wamchukue kwa fedha wanayoitaka wao (reguilon ni muhispania, kivyovyote siku za mbeleni wangelihitaji kumrudisha nyumbani kwao)
  3. man utd haifanani na juventus
 
ruralofficer,

Mbona upo hasi sana? Binafsi naamini msimu huu tuna uwezo mkubwa sana wa kubeba kombe. Hofu yangu kubwa ni moja tu, majeraha kwa wachezaji wetu muhimu. Narudia kusema kama nilivyowahi kutamka hapo awali, kama Paul, Bruno, Anthony, Marcus na Mason na sasa Donny (huyu bado sijaweka imani mpaka azoe kidogo) wakacheza pamoja mechi zisizopungua 30 msimu huu za ligi kuu basi tunabeba ndoo. Tunza hii comment yangu.
 
ruralofficer,

Ukiweka ushabiki kando sisi tulifanya vizuri sana kuanzia raundi ya pili msimu ulioisha kuliko timu yoyote ile pale Uingereza na hata wachezaji wetu ktk kila idara waliperform vizuri sana raundi ya pili kuanzia nyuma, kati mpaka mbele. Sisi tuliangushwa sana na majeraha. Timu nyingi sana kwa sasa zina ubora wa kawaida sana ukilinganishana na sisi.

Sioni u-special wowote ule kwa Liverpool kutushinda sisi. Kama wao wamebeba EPL kwa nini sisi tushindwe? Na usisahau front 3 yetu ilimaliza na goli nyingi kuliko wao. Na hata defence sisi tulifungwa goli tatu pungufu yao.
 
Sawa Front 3 yetu ina goli nyingi lakini kumbuka wao baadhi ya magoli mengi wamefunga mabeki na viungo tofauti na sisi kwaiyo kimsingi.
1.Front 3 ya loserfool wasipofunga sio issue maana kuna watakao wasaidia ref.Trent,VVD et al.

2.Front 3 yetu wasipofunga hakuna wa kuwasaidia na ndio maana kila mechi akikosea Martial na Rashford wanatukanwa sana maana no one can cover their ass.

3. NAKUBALIANA NA WEWE KWA SASA YUPO MKALI BF na VDB hopeful watasaidia hawa strikers wetu.
 
Kuwa watatu ni mafanikio makubwa kwake.

Small team mentality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…