Kakikosi kazuri ila hapo mbele utoto umezidi
Huyo ni attacking midfielder..
...Si ndio mkuu..Lakini how can we lineup ili VDB awe starter?..Kuna watu wanahisi hastahili kugombania no au kutokea nje
Weka wote watatu, Bruno, pogba na DVDB. Beek anakaba,na Bruno hukaba pia japo wote ni attacking minded midfielders...Si ndio mkuu..Lakini how can we lineup ili VDB awe starter?..Kuna watu wanahisi hastahili kugombania no au kutokea nje
Hii bado kdg kwenye kugombania mataji, no3, no11, na no9 znatakiwa zijazwe haraka zen hao wapuuzi wawe back up ya wenye namba zao.★Where could Donny van de Beek fit in at Manchester United?
The skysports.com team have used Solskjaer's favoured 4-2-3-1 to see the likely XI that could line up for the Red Devils next season...
“With Bruno Fernandes and Paul Pogba already in place at Manchester United, he may be needed in a deeper role at Old Trafford.”★
#GGMUView attachment 1556828
Uyu tumepigwa wakuu..★Donny van de Beek will wear number 34 in honour of his friend, Abdelhak Nouri.★
#GGMU
manutd | View attachment 1556872View attachment 1556873View attachment 1556874
Kabisa yaani atawafunga Chelsea goli nyingi tu.
Atawapiga kweli mkuu!
Bila kununuwa world class striker na center back..Mkuu mimi bado ninaamini hata msimu huu hatuko nafasi nzuuri sana kugombea taji,bali tunajenga timu. Hivyo tujipe muda maana kushoto bruno kuliko vdb hawa kwa kiasi kikubwa ni world class,tutegemee makubwa toka kwa pogba la sivyo tuwe na sababu ya kukubali man utd sio sehemu sahihi kwake pamoja na kipaji chake.
Mkuu unataka wenzio wa-spend tuu.Bila kununuwa world class striker na center back..
Ubingwa tusahau..
Martial hatoshi kuwa tegemeo no 9.
Hatuwezi kumtegemea no 9 tu ndo atupe kombe..Pia wanaocheza RW,LW wanatakiwa watupie pia goli za kutosha..Mbona Liverpool wameshinda kombe huku Firminho akiwa kazidiwa goli na Martial?Bila kununuwa world class striker na center back..
Ubingwa tusahau..
Martial hatoshi kuwa tegemeo no 9.