Hii timu haitokaa kama tunavyotaka iwe hadi siku ED Woodward atapoondokaBavaria,
Ujue bado ubovu sio benchi la ufundi bali ni wale watu wa juu wafanya maamuzi ndio wacheleweshaji wa mambo. Hata huyu Donny Van De Beek mtu anaweza kujiuliza mbona tumepeleka offer moja tu fasta ikakubali ukweli ni kwamba Edwin Van Der Sar kapokea offer yetu bila ku-negotiate na kama angeamua ku-negotiate basi Ronald Koeman alishaanza kuomba pesa ktk bodi ya Barcelona amnunue.
Mapungufu yapo lakini ukweli utabaki Ole ndani ya msimu wake wa kwanza kamili kama kocha mkuu kamaliza nafasi ya tatu. Bado naona kama akipewa mahitaji yake anaweza kufanya kitu. Ed yupo slow ku-match na bench la ufundi muda mwingi analeta wachezaji nje ya wakati sahihi.
Kwa mfano kwa sasa tunahitaji sana beki wa kati na mshambuliaji mmoja mbele. Siwezi kuhamaki kama tukisajili haya maeneo mpaka pressure za mashabiki zianze. In fact, Ed sio mtu sahihi kuendesha timu ya soka anapaswa akafanye kazi kama chief financial officer (CFO) ktk investment banks maeneo ya London huko.
Naamini hakuna mchezaji Wa kumuweka benchi pale Man U hivyo anakwenda kuingia moja kwa moja kwenye first 11,mfumo Wa 4-3-3 ungependeza sana hasa kama tungekuwa tuna 9 na 7 mzuriVDB ni mchezaji mzuri sana wasi wasi wangu ni wapi atatumika kwa kiwango chake siyo level ya back up player
Good in attacking, good marking and good defending what a boy !!!!!
Pogba na BrunoNaamini hakuna mchezaji Wa kumuweka benchi pale Man U hivyo anakwenda kuingia moja kwa moja kwenye first 11,mfumo Wa 4-3-3 ungependeza sana hasa kama tungekuwa tuna 9 na 7 mzuri
Hv huyu ni nani hasa kwa utd ama ni fan tu km wengine sema yeye ni World wide known.Akishasema huyu Fabrizio Romano huwa Naamini hyo Habari ni kweli 90%
Man Utd third kitView attachment 1555225
Jezi mby hii.Man Utd third kitView attachment 1555225
Sure, kuanzia color hadi tota designAdidas hawatutendei haki
Hapana ni mtu ambae chanzo chake cha Habari kinaaminika sana. Na akitoa Habari kwa kiasi kikubwa sana huwa ni kweli. Inaonyesha ni mtu ambae kabla ya kutoa Habari huwa anajiridhisha sanaHv huyu ni nani hasa kwa utd ama ni fan tu km wengine sema yeye ni World wide known.
Kaaa jezi baya hili asee!!Man Utd third kitView attachment 1555225
Jezi hii nafungia maandazi![emoji23][emoji23][emoji23]Man Utd third kitView attachment 1555225
Huyu Thiago wa nini ?Manchester United will submit a bid of £26.7 million for Thiago tonight. The bid is expected to be accepted and now the decision is down to the player and for personal terms to be agreed. Let’s see what happens... #MUFC #FCBayern #Thiago
Hapo unasajili kikosi kizima sasa.Kama Van Beek keshasaini hakuna haja sana hapo kwenye DM. Ila winga Wa kulia,beki mzuri Wa kati na Wa kushoto ikiwezekana na kulia + namba 9 anaejielewa ni muhimu!
Thiago na Hazard ni wachezaji waliringa kuja kucheza United enzi hizo. Nawachukia sana hawa jamaa.Manchester United will submit a bid of £26.7 million for Thiago tonight. The bid is expected to be accepted and now the decision is down to the player and for personal terms to be agreed. Let’s see what happens... #MUFC #FCBayern #Thiago
Kimbembe ni vle unavyoambiwa uoneshe chako hata cha kuchora tu[emoji23][emoji23][emoji23]kuwa na heshma na mabingwaAngalia mpira wanaocheza Arsenal.
Sijui Arteta amechukua misimu mingapi.
Japo amebeba vikombe vya mchangani.
Ila atleast unaona mwanga.
Harzad hakuringa alisema timu itakayobeba UEFA ndo atakuja. Ikatokea Chelsea kabeba..Thiago na Hazard ni wachezaji waliringa kuja kucheza United enzi hizo. Nawachukia sana hawa jamaa.