The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Wapinzani wanavyoona tunamkosoa Maguire au Bissaka basi wanadhani ni wabovu kiivyo kumbe cvyo, lkn ukweli wanaujua but wanachotaka man u iwa suck hao wachezaji zen waanze kukashifu, mfano Lukaku wapinzani waliongoza kwa kumsema vby leo hii ameondoshwa hao hao wanakuja kutucheka eti tumemfukuza fundi, huwa nacheka sn [emoji3][emoji3][emoji3]Hivi watu wanatoa wapi ujasiri wa kuwaita Harry Maguire na Aaron Bissaka mabeki mabovu? Kuna watu wananifanya nitilie mashaka uwezo wa kuangalia ubora wa wachezaji. Hawa wachezaji sio wabovu tunapowakosoa haimaanishi ni wabovu ila tunahitaji wafanye zaidi ya hapo maana tumewekeza pesa nyingi kwao na tunaamini wana uwezo wa ku-deliver zaidi ya hapo.
Harry ameongoza ukuta uliofungwa magoli machache zaidi msimu huu nyuma ya Liverpool(33) na Manchester City(35) na sisi tulifungwa goli 36 tu pamoja na clean sheet 12 . Maana yake tumezidiwa goli tatu tu na bingwa. Msimu wa 2018/19 tulifungwa goli 54 na tulipata clean sheet 7 tu kabla ya Harry na Aaron kuja.
Mimi ni moja ya watu ninayetaka tutafute beki wa kati, kwa muda mrefu nimekuwa nikiona kama bado tunakosa mtu anayeongoza ule ukuta wetu. Harry tatizo lake kubwa huoni akiwaongoza wenzake uwanjani kuanzia kama nahodha wa timu wala kama kiongozi wa ulinzi muda mwingi utaona anacheza as if hana majukumu ya kiuongozi huoni akiwapanga wenzake wala huoni akionyesha kukemea mtu akifanya ujinga unaogharimu timu.
Mfano mzuri tafuta ile mechi tuna sare na Southampton au ile Chelsea (tulifungwa) au ile ya Everton(sare) na hata ile ya Sevilla(tulifungwa). Hizi ni mechi ambazo msimu uliopita tulipoteza kwa kukosa kiongozi uwanjani utaona ni kama hamna mtu mwenye authority ndani ya uwanja. In long, kama tunahitaji makombe kuna muda unahitaji kiongozi uwanjani hasa hasa mtu huyo anapendeza awe anacheza hapo hapo eneo la ulinzi hata kama sio captain ila mtu mwenye uchungu pale ujinga unapofanyika hutaona tukifungwa vigoli soft soft vinavyoigharimu timu.
Kama alivyo yule demu wako wa sombetini..Hili timu takataka kabisa.
Demu wangu kaoza meno, mimi nimeoza moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama alivyo yule demu wako wa sombetini..
Huwa nashangaa Sana kusikia Carra16 alikuwa mchezaji wa kawaidaHivi mkuu carik au schoals,,,,ni wa kawaida?au sababu walikuwa hawana mambo mengi?
Hebu niambie ni lini Manchester hii kwa viungo tuliona alipiga long pas upande mmoja kwenda mwingine na pasi ikafika sehemu husika ,,?
Carik pasi moja kwa gigs,,au Ronaldo ,tena pasi yenye macho,,inapigwa pembeni,,
Au mtu kama paulo schoals walikuwa wa kawaida?
Timu lazima iwe na wachezaji wa viwango..
Nadhani kutokana na aina ya uchezaji wao ndy walionekana wa kawaida..
Tunahitaji timu ya kupambana mkuu.
Carik ni kama alikuwa haonekani uwanjani,,,lakini siku akiwa hayupo ndy utaona umuhimu wake,,Huwa nashangaa Sana kusikia Carra16 alikuwa mchezaji wa kawaida
Michael Carrick hakuwa wa kawaidaIla Fletcher na Carrick walikuwa kawaida sema walikuwa wafia timu na aggressive. Hawa wa sasa wana skills ila mdebwedo
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hata carik bado sikubaliani kwamba alikuwa mchezaji wa kawaida...Hajamgusa Scholes mkuu, yeye amesema Carrick na Fletcher walikuwa wa kawaida ila ni wafia tm, mm ngj niongeze kdg ni kwamba walikuwa wa kawaida ila walikuwa wanajitoa sn lkn pia approach ya kocha ilikuwa sahihi kwa muda sahihi na bahati pia ya tm usisahau.
Hapo kwa Scholes usiguse kabisa mkuu yule alikuwa ni World Class Mzee.
DMF kwa sasa sioni tukifanya hivyo aisee..Je hatutasajili DMF au wings jamani
Tuache perepeche ligi inaanza tutajionea kama amejirekebishaThe best 007,
Binafsi namuona Harry ni kama bonge la beki wa kati ambaye tumempata toka aondoke Nemanja Vidic na Rio Ferdinand kwa miaka hii ya karibuni na hata kwa timu yao ya taifa ya Uingereza yeye ndiye beki wa maana wa kati waliye naye.
Mapungufu pekee ya Harry hachezi ku-dorminate kama kiongozi uwanjani angalia jinsi mtu kama Nemanja au Rio au John Terry utaona walikuwa wanacheza with authority yaani ukiwa unacheza nao uwanjani unaogopa kufanya kosa la kijinga jinga. Harry ana-drive timu vizuri toka nyuma ila hachezi kama kiongozi labla kwa sababu alikuwa bado mgeni, maana kapewa uongozi msimu wake wa kwanza. Kama atabadilika ataanza kuwa mkali na kuwapanga wenzie uwanjani basi hofu yangu itapungua.
Kuna muda unapaswa kumuita hata mchezaji wako unamuonya aache upuuzi pale anapoigharimu timu huwa watu wanacheza kwa hofu wakijua kuna mtu humo ndani anawaangalia.
Man u co ya kuamini mpk mtu atueHere we go..
.View attachment 1554519
Fabrizio Romano mzee wa HERE WE GO!Man u co ya kuamini mpk mtu atue
@Ollachuga Oc utaacha lini uchokozi?Hili timu takataka kabisa.
Kijana anachukia kuipenda utd.Akija hapa anapata amani ya moyo.@Ollachuga Oc utaacha lini uchokozi?
Hivi unadhani kuna utopolo unaoshinda hii man u[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Ollachuga Oc utaacha lini uchokozi?
Ni back up nzuri for pogba na bruno incase of injury, tiredness,rotation etc...Wakuu habari..its been a while..pweh!!
Naona VAN DE BEEK anafanya medical mida hii(kulingana na Fabrizio Romano)
Binafsi simjui vizuri huyu mchezji lkn nimengalia Clips Youtube naona ni attack minded midfield..na anacheza sn upande wa kulia..maybe atakuwa deployed kama RW km tukimkosa sancho..Maybe!!!