Almost timu nyingi siku hizi zinatumia full backs kuanzisha mashambulizi. Unadhani Bisaka kiwango alichoonyesha kinamfanya afuzu kua attacking full back?Sawa sawa ,,lakini aina ya uchezaji wa Manchester hutumia zaidi mawinga na full beki kupanda na kutoa cross,,sasa bila striker aina ya IBRA,,au Cavan utashindaje?
Timu inayotumia mipira ya kupenyeza kama Barcelona ndy timu ambayo inakuwa na viungo wengi ili kumiliki Mpira,lakini kwa mfumo wa man u tangu enzi za fegy,,mfumo ni mawinga na kuweka mpira golini,,,
Man u hatuna mambo mengi,,pasi zilikuwa ni tatu tu goli,,
Ferdinand anampa carik carik anapiga ndefu inakutana na Ronald anaweka ndani teves au barbatov anamaliza..
Hao akina eniesta na xavi ,,mesi wote wanacheza kama viungo,,pasi fupi fupi,Hapa kwenye kuwaamini viungo tupo wote. Timu ikiwa ni kiungo kizuri unaona katikati pamebalansi na hakuna kupitwa hovyo huku muda wote timu inaumiliki mpira.
Barcelona ya kina Xavi, Iniesta & Co.
Ila Fletcher na Carrick walikuwa kawaida sema walikuwa wafia timu na aggressive. Hawa wa sasa wana skills ila mdebwedoHao akina eniesta na xavi ,,mesi wote wanacheza kama viungo,,pasi fupi fupi,
Lakini man u,,ni lazima kuwe na viungo bora mfano zamani carik anacheza na Fletcher,, wote wazuri sana tu,,huwezi ukajaza viungo halafu striker hana target,,hana skills za kufunga,,ni bure mkuu,,timu lazima iwe na finisher mzr level ya akina cavani....
Hivi mkuu uliwahi kuangalia Manchester united siku timu ikijaza viungo vingi tunavyohangaika kufunga?
WBS sasa ameshuka kiwango,,ndy maana nikasema tunahitaji 2 na 3 viwango vya evra,,,na hata akiwa na Kiwango bora hyo cross atafunga nani?hatuna good finishers kwa mipira ya kuunganisha?Almost timu nyingi siku hizi zinatumia full backs kuanzisha mashambulizi. Unadhani Bisaka kiwango alichoonyesha kinamfanya afuzu kua attacking full back?
Hivi mkuu carik au schoals,,,,ni wa kawaida?au sababu walikuwa hawana mambo mengi?Ila Fletcher na Carrick walikuwa kawaida sema walikuwa wafia timu na aggressive. Hawa wa sasa wana skills ila mdebwedo
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Yeah nimewahi kuona. Ila mara nyingi CMF au AMF hua skilled katika kufunga kuliko DMF so kwa mpira wa tiki taka yeyote atakufunga kama siyo CF goi goi Braithwaite basi De Jong atamalizaHao akina eniesta na xavi ,,mesi wote wanacheza kama viungo,,pasi fupi fupi,
Lakini man u,,ni lazima kuwe na viungo bora mfano zamani carik anacheza na Fletcher,, wote wazuri sana tu,,huwezi ukajaza viungo halafu striker hana target,,hana skills za kufunga,,ni bure mkuu,,timu lazima iwe na finisher mzr level ya akina cavani....
Hivi mkuu uliwahi kuangalia Manchester united siku timu ikijaza viungo vingi tunavyohangaika kufunga?
Uvumilivu anaooneshwa Maguire na Bisaka angeonyeshwa LukakuWBS sasa ameshuka kiwango,,ndy maana nikasema tunahitaji 2 na 3 viwango vya evra,,,na hata akiwa na Kiwango bora hyo cross atafunga nani?hatuna good finishers kwa mipira ya kuunganisha?
Angalia magoli ya mwisho ya kuunganisha toka IBRA aondoke hayajafungwa tena hapo man u..magoli yote ni ya kumgonga mtu mpira unazagaa wanamalizia,,
Tunahitaji finisher wa kuua timu pinzani,,kama alivyokuja van persi na kutupa kombe.
Bila striker man u msimu huu bado tutasubiri sn..
Hivyo mkuu aina ya uchezaji wetu martial hatoshi kuwa ndy main striker,,anatakiwa acheze wide ndy anakuwa mkali sn,,,Yeah nimewahi kuona. Ila mara nyingi CMF au AMF hua skilled katika kufunga kuliko DMF so kwa mpira wa tiki taka yeyote atakufunga kama siyo CF goi goi Braithwaite basi De Jong atamaliza
Na sijuwi kwann aliuzwa lukaku..Uvumilivu anaooneshwa Maguire na Bisaka angeonyeshwa Lukaku
Mkuu man ilishabadilika kiuchezaji, huo mpira ulikuwa enzi zile za Fergie tunaliita soka la kushambulia ambalo saivi ndo linachezwa pale Bayern, yn no shobo ni mbele kwa mbele, lkn cku hz man u inajaribu kucheza mpira wa kumiliki zaidi katikati na ndiyo maana utaona tm imepooza mno cz tumezoea soka la kushambulia tu pasi nyingi hatuna mpango nazo, na ndiyo maana hata hzo krosi unazosema cku hz huzioni co kwamba haiwezekani but utampigia krosi forward mwenyewe nani wa kufunga kwa krosi? Hakuna so inabd tutrgemee viungo wamiliki zaidi katikati ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea pindi mpira unaponaswa na wapinzani.Sawa sawa ,,lakini aina ya uchezaji wa Manchester hutumia zaidi mawinga na full beki kupanda na kutoa cross,,sasa bila striker aina ya IBRA,,au Cavan utashindaje?
Timu inayotumia mipira ya kupenyeza kama Barcelona ndy timu ambayo inakuwa na viungo wengi ili kumiliki Mpira,lakini kwa mfumo wa man u tangu enzi za fegy,,mfumo ni mawinga na kuweka mpira golini,,,
Man u hatuna mambo mengi,,pasi zilikuwa ni tatu tu goli,,
Ferdinand anampa carik carik anapiga ndefu inakutana na Ronald anaweka ndani teves au barbatov anamaliza..
Hajamgusa Scholes mkuu, yeye amesema Carrick na Fletcher walikuwa wa kawaida ila ni wafia tm, mm ngj niongeze kdg ni kwamba walikuwa wa kawaida ila walikuwa wanajitoa sn lkn pia approach ya kocha ilikuwa sahihi kwa muda sahihi na bahati pia ya tm usisahau.Hivi mkuu carik au schoals,,,,ni wa kawaida?au sababu walikuwa hawana mambo mengi?
Hebu niambie ni lini Manchester hii kwa viungo tuliona alipiga long pas upande mmoja kwenda mwingine na pasi ikafika sehemu husika ,,?
Carik pasi moja kwa gigs,,au Ronaldo ,tena pasi yenye macho,,inapigwa pembeni,,
Au mtu kama paulo schoals walikuwa wa kawaida?
Timu lazima iwe na wachezaji wa viwango..
Nadhani kutokana na aina ya uchezaji wao ndy walionekana wa kawaida..
Tunahitaji timu ya kupambana mkuu.
Mkuu Lukaku amekaa misimu zaidi ya mi3 pale utd na nyie wapinzani mkawa mnamuita mwenye kilo 100, Bissaka na Maguire nadhani ndo kwnz wamemaliza wao wa kwanza so bado tunawapa muda cz hawajavurunda.Uvumilivu anaooneshwa Maguire na Bisaka angeonyeshwa Lukaku
Hivi mkuu unaamini kama zama zile za mipira ya cross zimepita?Mkuu man ilishabadilika kiuchezaji, huo mpira ulikuwa enzi zile za Fergie tunaliita soka la kushambulia ambalo saivi ndo linachezwa pale Bayern, yn no shobo ni mbele kwa mbele, lkn cku hz man u inajaribu kucheza mpira wa kumiliki zaidi katikati na ndiyo maana utaona tm imepooza mno cz tumezoea soka la kushambulia tu pasi nyingi hatuna mpango nazo, na ndiyo maana hata hzo krosi unazosema cku hz huzioni co kwamba haiwezekani but utampigia krosi forward mwenyewe nani wa kufunga kwa krosi? Hakuna so inabd tutrgemee viungo wamiliki zaidi katikati ili kupunguza madhara yanayoweza kutokea pindi mpira unaponaswa na wapinzani.
Van gaal aliwahi kusema njia nzr ya kujilinda ni kumiliki mpira, lkn ili umiliki mpira unahitaji viungo wabunifu wenye uwezo wa kukaa na mpira lkn pia viungo wabunifu dizain ya Bruno huwa wanafunga pia so tukiwa na kina Bruno km watatu tu ukiongeza na waliokuwepo mbn safi tu.
1.Lukaku amecheza United only 2 seasonMkuu Lukaku amekaa misimu zaidi ya mi3 pale utd na nyie wapinzani mkawa mnamuita mwenye kilo 100, Bissaka na Maguire nadhani ndo kwnz wamemaliza wao wa kwanza so bado tunawapa muda cz hawajavurunda.
Yah ni kweli two seasons lkn alivyonichosha utadhani alikaa misimu 10[emoji3][emoji3]1.Lukaku amecheza United only 2 season
2.Lukaku ni pure no 9 unlike Martial & Rashford.SAF alikuwa na forward 4 wenye different attribute now tuna forward 3 wenye similar attribute (Greenwood,Martial,Rashford) ndio maana tumekuwa very predictable kwenye kushambulia
Angalia hiyo review kuhusu Lukaku
Ishu siyo kwenda ishu alienda huku hakuna CF.Mkuu Lukaku amekaa misimu zaidi ya mi3 pale utd na nyie wapinzani mkawa mnamuita mwenye kilo 100, Bissaka na Maguire nadhani ndo kwnz wamemaliza wao wa kwanza so bado tunawapa muda cz hawajavurunda.
Mkuu Alves hakuwepo hata Brazil ya 2002 ya Korea na Japan leo unasema wa zamani!! Huyo Vidic tu huwezi sema wa zamani japo anaweza kumzd umri Alves.Mh baba Alves ni wa muda hadi kuamua kuacha soka la ushindani mkubwa na umri ushamtupa mkono.
Ila kwa kumtaja Cafu upo sahihi pia.
Na kama unajua hivyo unaona hoja yako ya kusema Bisaka anacheza kizamani haina mashiko?
Hayo ni mawazo yake binafsi, kila mtu ana ya kwake mkuu ila unatakiwa utoe facts ushawishi watu co kirahisi rahisi tu.Mimi sijasema Maguire ni mbovu kuzidi Luiz. Hapa unanilisha maneno.
Rais wa Napoli alisema "Kama Maguire amenunuliwa kwa 80M na kiwango ni kile Koulibaly haondoki bila 200M"