Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe kenge hivi unajua Cheltako haina uwanja ila mmekodi?

Unajua cheltako imeanzishwa mwaka 2005?
ukweli ni Kwamba thamani ya messi ni sawa na timu nzima ya Arse8 pamoja na vitu vyote mlivyonavyo. Kama ela ya comrade kipepe mlilipa kwa mafungu ..ela kumnunua Messi itabidi muiuze club nzima pamoja na uwanja wake sasa cjui mtatumia uwanja gani, labda Wembley kama uwanja wa nyumbani.
 
Msimu huu man u hawasajili. Ila mpira huwa una maajabu , tusishangae kuona Man u ikija na moto wa ajabu kwenye ligi kwa kikosi hicho walichonacho
Kikosi cha ku-compete na kutupa matokeo kipo ila ili upate mafanikio zaidi katika msimu wa soka unahitaji kuwa na squad depth na consistency. Kitu ambacho United hamna.

Ukimtoa Martial hakuna Striker mwingine tunayemtegemea kuipa timu ushindi.

Pogba now ana Corona, Bruno ataanza kwa kasi ila kutokana na mashindano mengi atahitaji msaada. Hakuna option nyingine kufikia viwango vya Bruno kwenye kiungo zaidi ya Pogba ambaye hatujui atapona lini.

James ni squad player, Greenwood ameonyesha uwezo mkubwa katika nafasi ya winga lakini kwa umri wake sidhani kama ana uwezo wa kutoboa msimu mzima katika kiwango kilekile. Ukizingatia sasa hivi ameitwa timu ya taifa.

Rashford ndio huyo leo atakufurahisha kesho atakukera, no consistency btn games and games.

Manchester United ina timu nzuri ila ya kupambania ubingwa wa ligi bado tunahitaji watu zaidi.
 
Brooks uliyekuwa unampigia chapuo kuja United vipi?
 
Utd inazingua Sana !
May be tusubiri deadline,,,, japo napenda usajili mapema ili pre season waweze kutengeneza walau chemistry flani !

#GGM
United hata kwenye media imezima kabisa kwa hizi wiki mbili sijui ni kwanini .

Hata hapa jukwaani uzi wanachama wa united wameususa so sad.

Ukitembelea page za united unakutana na historia tu na taarifa za kupelekwa mkopo wale watoto wa Carrington.

Kama unatafuta mtoto kwa huu msimu wa ligi nakushauri usifuatilie tena story za united hutampata abadani.

Inakatisha tamaa sana.
 
Fotomac | Galatasaray are reportedly keen to sign Manchester United midfielder Fred on loan.★


#GGMU

manutd |
 
nasikia kwamba hakuna usajili Man u,, labda dirisha dogo ndio wanaweza kuingiza sajili mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…