Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,985
- 10,489
- Thread starter
- #13,341
Hahahahhhhh.Nakwambia sio siku mbaya kwa mashabiki wa Man Utd tuu bali kwa wale wa Arsenal pia.
Mashabiki wa Arsenal wanatamani Wenger ndiye aliyekuwa ametangaza kuachia ngazi.
Una utani na akina Wacha1.
We unaota ndoto za mchana. Kumbuka kwamba Fergie amebaki kwenye bodi ya wakurugenzi, hajaitupa Man U. Pole we.let him go na tutakufungeni mpaka basi..
Day dreaming! Msimu ukianza uje upost tena hapa hapa.Ferguson mwenyewe anawapa uhakika wa pointi 20 kwa msimu kwa kuwatishia marefa, hilo ni pigo kubwa sana maana Manure wataanza msimu wakiwa na -20 points.
Last edited by a moderator: