Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wenzake wanamsikiliza, wanaona timu ndiyo hii, wamemaliza ligi wakiwa top 10. Sasa anawaambia hawakamatiki and blah blah blah hata pre season bado.
Ole Gunnar Solksjaer this season

-spent 200M
-Knocked out of the Europa league
-Knocked out of the Carabao Cup
-Knocked out of the FA CUP
- finished on the same point as Chelsea
- Took united from 66 points to 66 points

He's definitely the next big thing
 
Edni Dzeko si anaelekea mwisho wa career yake mkuu?

Kwani Ighalo na Edin Dzeko wanatofautiana nini kikubwa sana cha kumfanya Dzeko awe special?
 
Mkuu umeongea ukweli ila kuna baadhi ya watu watabisha, kikosi cha Man Utd kwa sasa kinapaswa kiweze kupigania kombe kwa sasa.
 
Mkuu huu ukweli uliozungumza hapa kuna watu watapata kichefu chefu utadhani wajawazito. Kwanza nashangaa Woodward amekuwa mkarimu sana kwa Ole.
Kumbuka huyo mtangulizi wake(morinyo) alitupa
.Fa
.Europa
.Community shield.

Lakini akaondoka kabla hata hajapewa wachezaji ANAOWATAKA..

Morinyo hakumtaka LINDERLOF wala FRED ila WOODWARD alimkazia..

Hii timu inajiua yenyewe..
 
OGS alikuwa na hiyo nafasi akaona Ighalo kutoka China anamfaa akamsajili kwa mkopo then permanent

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Wakati mwingine tunamtetea ogs akiwa anafanya makosa ya wazi kabisa.
Hii hela tunayoishupalia inaenda mifukoni mwa akina Glazers, kwanini tunajinyima halafu faida wanakula wao?
 
Wakati mwingine tunamtetea ogs akiwa anafanya makosa ya wazi kabisa.
Hii hela tunayoishupalia inaenda mifukoni mwa akina Glazers, kwanini tunajinyima halafu faida wanakula wao?
Jana nilimlaumu sn ogs cz tm ilionekana imechoka kipindi fulani akagoma kufanya sub mapema Rashford alikuwa anakosea most of the time but akamtoa dk ya 87s wkt mwngne naona km ogs alifanya kusudi ili tm ifungwe Woodward amalizane na BVB mapema kuhusu Sancho.
 
Wewe jamaa unajua aiseee
 
Tangu mwanzo nimekuwa nikiamini kuwa waingereza ndani ya united ndio kansa yenyewe. Angalia kuanzia mishahara yao,mikataba yao mirefu,back up wanayopata kutoka kwenye media za nyumbani,hawafanyiwi subs pindi wanapokuwa off na la muhimu kabisa hawana ufundi ndani ya uwanja.
Wakati mwingine naombea huyu Sancho naye deal lake life tupate talent ya America ya kusini au ulaya mashariki tutapona huu ujinga unaoendelea hapa
 
Kweli kabisa mkuu mm mwenyewe co fan wa wachezaji wa kiingereza cz wana makosa mengi mno ndani ya uwanja.
 
Lindeloef ametucost games zaidi ya 9 na hivi karibuni game ya southampton goli la 2 na hata game ya jana pia ametucost, amekuwa anajisahau sana

Bissaka ametucost sana jana sijaona amecheza kitu gani, na naona hizi kelele za mashabiki kuwa apande kushambulia zimemchanganya hata ile quality yake ya kukaba imeanza potea na anakamatwa akiwa off position mara kadhaa mfano goli la kwanza......

Kiufupi kwa upande wangu kwa kuangalia approach ya timu, naona tulicheza vizuri tu tulicreate nafasi nyingi ila tukashindwa kufunga mfano ile nafasi ya dakika ya 46 rashford anafanya blunder ya ajabu wakati ilikuwa inabidi atishie kama anaingia then ndani afinye kushoto apige......

Bado tunahitaji striker i think Haaland alikuwa mtu sahihi sana ili rashford na martial wakomae huko kushoto washindane na kulia washindane sancho na greenwood.....

Lindeloef na bissaka tunasafari ndefu kufika nao salama
 
Dzeko mzungu Ighalo mwafrika
Kwanini tuendelee kubet kwenye usajili wachezaji wa kusajili wapo sokoni ?

Huyo Dzeko hawezi kuwa na msaada kwenye team yetu labda tumrejeshe Christiano Ronaldo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…