Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Suala si Matic Mimi naona safu ya ushambuliaji uzembe mwingi
Hili kila siku nasema humu hii safu yetu ya ushambuliaji haina wachezaji serious sana.

Tunawatu wakujaza tu hizo nafasi lakini inapotokea Hawako form hali inakuwa tofauti sana.

It seems timu nzima bado inasherehekea ile kuingia top three ya epl maana hata training zilikuwa kama za celebration tu.
 
Bahati au uzembe wa forward zenu
Kunawakati mpira una amriwa na bahati, Timu imecheza vizuri imepata nafasi nyingi ila bahati aikua kwa man u.sevilla wamecheza kiasi ila bahati ilikua upande wao.
 
Ole hata sub hawezi
mi nilisema hii timu huwa inashinda kwa mizuka tu ya wachezaji siku wakifurahi wanaupiga siku wakivurugwa ndo kama hivi.
Mi sijui tunacheza mpira wa aina gani kwakweli Ole hawezi kuipa hii timu hata kombe la carling hana huo uwezo ni hovyoo kabisa wahedii.
Tusubiri EPL sasa na mambo yatakua kama haya tu sioni mapya hata kidogo yanayokuja acha nilale nimestream sijui GB ngapi zimekata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…