Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ukweli unaonekana ,Chelsea huyo hapo kaenda akiwa uchi , Kala 7-1 ,Waache wabishe mkuu..wengine wanatafuta pakutolea stress zao
Yaani jamaa wana full mziki..Imagine timu yetu ina Luke shaw/William na awb halafu wao wana kimmich na Davies. Mbele wana lewa,muller,sisi tunajiandaa kuanza ligi na rashford pamoja na martial. Namuunga mkono jamaa Ugiligili kwenye hoja yake hapo juu.
Team haiwezi kuacha kwenda kwenye mashindano kisa haijasajiliUmeongea ukweli sema wanakubishia tu, kiukweli kama bado hujajipanga vya kutosha , ni kheri usubiri kwanza huko UCL ,
Kil siku tunasingizia muda bado,tumpe muda kocha wakati hatusajili madirisha yanapofunguliwa.UTD bado hatupo serious kwny usajili
Bahati hazikosekani lakn kwanini uende kwa kubahatisha na si kushindana?Team haiwezi kuacha kwenda kwenye mashindano kisa haijasajili
Lyon na Liepzig wanakikosi kuzidi united ?
Man United inabidi tuende UEFA tukawashe moto bila kubahatisha..hao Lyon kufika tu robo fainali ni mafanikio kwaoTeam haiwezi kuacha kwenda kwenye mashindano kisa haijasajili
Lyon na Liepzig wanakikosi kuzidi united ?
Muda wa usajili mpaka mwezi October huko haraka ya nini ?Bahati hazikosekani lakn kwanini uende kwa kubahatisha na si kushindana?
UCL ni muhimu sababu ya mapato ,lkn kwa klabu kubwa kariba ya Man u anatakiwa aende kushindana ,sio kufika 16 bora.
Ndio hoja ya jamaa hapo , Kina Leipzig , Lyon nadhan wamejitahidi kufika hapo , Safari yao imeiva
Recruitment team ya United ina matatizo ndiyo maana mimi huwa sishobokei usajili tena.Man United inabidi tuende UEFA tukawashe moto bila kubahatisha..hao Lyon kufika tu robo fainali ni mafanikio kwao
Point ya jamaa ni kuwa muda wa kujipanga upo,why hatufanyi sajili na tuna mapungufu kibao?
Kama Ole anahisi timu ipo vizuri basi acha tusubirie msimu uanze
Personally naona tunahitaji;
✓Striker
✓CDM
✓Full back(who is good going foward)
✓CB kitasa na anayeweza kucheza na mpira
✓RW
Tusajili basi hata watatu kwenye hiyo list basi
Na kuna wapuuzi kibao wakuwaondosha kwenye timu..wanatufanya tuonekane kama Newcastle
United inabidi iwe na list A na B zilizoshiba kabisa
Huyu semedo anayegalagala chini kila wakatiTuibe wachezaji pale barca,timu inakufa ile. Yule semedo anatufaa sana maana wana dhiki sana na hela
Home and away 7, mtu kawekwa 8 mechi moja tena kwake.Bayern 7-1 Chelsea
Bayern 8-2 Barca
Hawa jamaa wanajua.
Mkuu lazima tutasajili, tujipe mda.Man United inabidi tuende UEFA tukawashe moto bila kubahatisha..hao Lyon kufika tu robo fainali ni mafanikio kwao
Point ya jamaa ni kuwa muda wa kujipanga upo,why hatufanyi sajili na tuna mapungufu kibao?
Kama Ole anahisi timu ipo vizuri basi acha tusubirie msimu uanze
Personally naona tunahitaji;
✓Striker
✓CDM
✓Full back(who is good going foward)
✓CB kitasa na anayeweza kucheza na mpira
✓RW
Tusajili basi hata watatu kwenye hiyo list basi
Na kuna wapuuzi kibao wakuwaondosha kwenye timu..wanatufanya tuonekane kama Newcastle
United inabidi iwe na list A na B zilizoshiba kabisa
Hapo kuna mchango mkubwa wa kocha na timu. Bayern inasajili wachezaji wa kawaida ila huwa wanakuwa brilliant blaaDah! Man U kweli miyeyusho mbona kuna wachezaji wazuri wa kufatilia muda huu. Kama Upemecano kwa beki ya kati yuko vizuri.
Dah! Namtamani Alphoso Davies hata kuwachokoza Bayern hatuwezi?
Kukomaa na Sancho ufala huo
nadhani kwa alichokufanyia muweo jana lazima uliomba poo tuWake wa Barcelona mpo?
Hapo kuna mchango mkubwa wa kocha na timu. Bayern inasajili wachezaji wa kawaida ila huwa wanakuwa brilliant blaa
United ya sasa sio ya kina David Gill.Man United inabidi tuende UEFA tukawashe moto bila kubahatisha..hao Lyon kufika tu robo fainali ni mafanikio kwao
Point ya jamaa ni kuwa muda wa kujipanga upo,why hatufanyi sajili na tuna mapungufu kibao?
Kama Ole anahisi timu ipo vizuri basi acha tusubirie msimu uanze
Personally naona tunahitaji;
✓Striker
✓CDM
✓Full back(who is good going foward)
✓CB kitasa na anayeweza kucheza na mpira
✓RW
Tusajili basi hata watatu kwenye hiyo list basi
Na kuna wapuuzi kibao wakuwaondosha kwenye timu..wanatufanya tuonekane kama Newcastle
United inabidi iwe na list A na B zilizoshiba kabisa
Kwanini David Gill hakutapeliwa?Mkuu lazima tutasajili, tujipe mda.
Soko ni gumu kwa kuzingatia Jina la timu yetu kila mtu anawaza kututapeli tu.....
Wachezaji wakawaida ila kwa kuwa ni Man U basi tunatajiwa pesa ndefu.