Bruno Fernandez bado ni mgeni kwenye EPL sidhani kama amefikisha hata mechi 20 so it's too early to conclude that,First season Pogba amepoteza sana mpirahuu mjadala wa bruno fernandez na upotezaji wa mipira umetamalaki kwenye forum na kurasa za manchester united.
acha niendelee kukaa kimya kwa lengo la kujifunza zaidi mawazo ya wengineo.
kuna mdau fulani nakumbuka humu ndani aliwahi kusema
man utd walishindwa kumsajili bruno dirisha kubwa kwa sababu ya takwimu zake za passing accuracy, wengi wetu hatukumuelewa
kuna makala fulani nimeisoma kupitia mtandao wa the athletic wiki iliopita nitajaribu kuishusha, inazungumzia ishu ya bruno fernandez.
athletic makala zao mpaka ulipie au utumie crack method
===========================
Ole ameamua kuua kabisa kipaji cha LingardFabrizio Romano: “Jesse Lingard will leave #mufc I think” #muzone [@StretfordPaddck]
Ana kiuaje mkuu!? Kipi bora;Kusugua benchi man Utd au kwenda hata Everton/Napoli lkn akawa anacheza daily!?Ole ameamua kuua kabisa kipaji cha Lingard
Wakati misimu kama miwili chini ya Jose Lingard alikuwa tegemeo la timu, kwa Ole alihamishiwa benchi mazima. Unakumbuka hata ile dancing style yake baada ya kufunga?Ana kiuaje mkuu!? Kipi bora;Kusugua benchi man Utd au kwenda hata Everton/Napoli lkn akawa anacheza daily!?
Memphis Depay kazaliwa upya sasa hivi ni mchezaji hatari siyo machachari tena.hawa wajumbe harakati zao ni nyingi kama comrade kipepe, lakini matunda ya harakati zao ni madogo
mashabiki wengi wa manchester united huyo jamaa wa nyuma hawamfahamu, dhambi zote zinamuangukia huyo wa mbeleni
teh teh teh
===========================
wanaofuatilia mpira, memphis depay yupoje?
View attachment 1536286
Mourinho atamnunua amhamishie pale Spurs wawe wanadance pamoja mkuu.Wakati misimu kama miwili chini ya Jose Lingard alikuwa tegemeo la timu, kwa Ole alihamishiwa benchi mazima. Unakumbuka hata ile dancing style yake baada ya kufunga?
kwenye dili lake la usajili hatukuweka kipengele cha kupewa kipaombele kama atahitajika kuuzwa na lyon?Memphis Depay kazaliwa upya sasa hivi ni mchezaji hatari siyo machachari tena.
Hicho kipengele kipo nadhani kwa maana walianza kumchukua kwa mkopo then ikafuata hiyo permanent.kwenye dili lake la usajili hatukuweka kipengele cha kupewa kipaombele kama atahitajika kuuzwa na lyon?
unadhani jamaa anaweza kufuta makosa yake ya mwanzoni, kama klabu itaamua kumrejesha (binafsi sijawahi kumuona akicheza kwa miaka mingi sana)Hicho kipengele kipo nadhani kwa maana walianza kumchukua kwa mkopo then ikafuata hiyo permanent.
Inategemea na atmosphere atakayoikuta klabuni.unadhani jamaa anaweza kufuta makosa yake ya mwanzoni, kama klabu itaamua kumrejesha (binafsi sijawahi kumuona akicheza kwa miaka mingi sana)
Inategemea na atmosphere atakayoikuta klabuni.
Naona mentality ya team sasa hivi ya kupambana ni kubwa hivyo anaweza kuadapt mazingira hayo.
Binafsi nimeshuhudia mechi kadhaa kabla hajaumia mwanzoni mwa msimu na hii ya juzi na Juventus.
Art yake ya uchezaji ni ile ile sema ameimarika kwenye eneo la kutengeneza nafasi na kuamua matokeo ya timu ukizingatia pia team work ya Lyon ni kubwa sana.
Marketi value yake haiwezi kuwa kubwa kama Sancho.
- market value yake........
- kiubora yeye na sancho (kwa mtazamo wako)
- kiubora yeye na coman
- kiubora yeye na dembele
Kwa sasa Ole kashaua kipaji chote.Mourinho atamnunua amhamishie pale Spurs wawe wanadance pamoja mkuu.
teh teh tehUbora wake hauwezi kumfikia Sancho ila unaweza kuwa na msaada kwa team hasa ukizingatia ni versatile anayeweza kucheza nafasi zote za mbele.
Yule wa Villareal ?teh teh teh
nimemuwaza takefusa kubo
Mourinho atamchukua akakifufue pale Spurs .Kwa sasa Ole kashaua kipaji chote.
..lingard ana GOLI MOJA TU kwenye premier league msimu huu..hana assist wala nini..Ole alimtumia nusu ya msimu wote mpk dirisha la january tulipompata bruno ndo akawa hachezi sana..kwa mtu mwenye kiwango angekuwa amefunga basi hata goli mbili na assists nne.Wakati misimu kama miwili chini ya Jose Lingard alikuwa tegemeo la timu, kwa Ole alihamishiwa benchi mazima. Unakumbuka hata ile dancing style yake baada ya kufunga?
yes, ni mchezaji wa real madridYule wa Villareal ?
Ana ufundi mwingi sana yule dogo mpaka kumweka benchi Samuel Chukueze.yes, ni mchezaji wa real madrid
huyu dogo nilimuona mechi ya barcelona (nafikiri ilikuwa ni round ya kwanza) aliupiga mwingi sanaSamuel Chukueze.