Manchester United (Red Devils) | Special Thread

dah enzi hizo UTD ilikuwa balaa..ukilaza damu hupati namba..siku hzi kina Pereira wanacheza
aisee kweli maisha yanabadilika..
 
Ila UTD hatupo serious..ni wiki ngapi zimepita tangu dirisha lifunguliwe lkn tupo "busy" na Sancho wkt targets nyingine tumezisahau..

Ninachokiona tutampata Sancho lkn hatutatimiza lengo la targets tulizojiwekea(CAM/CM and CB)

NAHISI tutaweza kusajili wachezaji wawili tu dirisha hili..
 
Best position yake Ni Central midfield, anacheza Defensive ama attacking midfield pia sema hawi effective kama MC. Ni kama Fletcher vile.
Mimi huwa naona Pogba na Fred wakicheza pamoja huwa midfield inakuwa shake kidogo.

Fred -Scot huwa wanafanya vizuri sana defensively ila kwenye attacking huwa wako poor kidogo hasa kutokana na nature wote ni kama holding midfielder.

Fred -Matic wanacheza vizuri case study game yetu na Man city 2-0 na game yetu na Chelsea ile ya 2-0.

Pogba -Scot huwa wanakuwa vizuri sana defensively na kwenye attack sema niliwashuhudia mechi chache za mwanzo wa msimu.

Physicality ya Scot huwa inawacomplement vizuri sana Pogba na Fred anapocheza nao hasa ukizingatia work rate yake ni kubwa sana.

So kwangu mimi naona kwenye usajili tuprioritize kwenye striking force na right wing wachezaji wetu wa mbele wanapokuwa off form kama walivyo mechi kama tatu mfululizo inakuwa shida sana kupata magoli.

Kwanini tusilete striker na winger kabla hatujaangalia maeneo ambayo yanabackup za uhakika kwenye bench ?
 
Sahihi mkuu, sababu wote Fred na Mc tominay ni Central midfield wanaojua kukaba hivyo power ya wawili inatimiza Jukumu la ukabaji.

Ila mmoja wao akipewa jukumu la kukaba na pogba na bruno kushambulia tunakuwa hatuchezi vizuri, Matic role hio anaiweza kuwalinda Pogba na Bruno.

Hapo ndio unaona uhitaji wa Dm tukiendelea kucheza na Viungo washambuliaji wawili
 
Kwani Solkjaer akiamua kucheza 4 4 2 diamond hawezi kuwa accommodate 2 DM mbele yao CM1 na CAM1 kama anavyofanya Diego Simione ?
 
Kwani Solkjaer akiamua kucheza 4 4 2 diamond hawezi kuwa accommodate 2 DM mbele yao CM1 na CAM1 kama anavyofanya Diego Simione ?
Inawezekana mkuu, na kuna mechi anatumia Almost mfumo huo 4-3-1-2 badala ya Diamond wale wa kati wanarudi nyuma.

Tatizo kubwa la kutocheza mifumo mingi kwa sasa ni wachezaji ambao wapo comfortable kucheza Kulia, Ukitoa Bissaka wengine tunaforce force tu, kama sasa hivi tunavyomchezesha pogba.

Tuna Uhaba sana wa wachezaji wa kulia ndio maana hata baadhi ya mashabiki wanataka Dm anaejua kucheza kulia.

 
Hapo sawa ndiyo maana nasema recruitment yetu tuzingatie kwenye kuimarisha striking force yetu.

Hatuna Back up nzuri ya Rashford na hatuna back up ya Martial.

Hawa miamba wawili wakipata injury au kuwa off form tunastruggle sana kupata magoli.

Tunahitaji back up ya uhakika sana kwenye striking force kuliko huku kwenye midfield ambako kila position ina mchezaji zaidi ya mmoja hadi wachezaji wa academy.

Pochetino msimu uliopita isingekuwa na Llorente angestrugle sana lakini alimsaidia kipindi Harry Kane akiwa na majeraha.
 
kama Sancho anakuja inamaana mbele anakuwa Rashford, martial na Sancho then Backup James, Greenwood na Ighalo. muhimu mkuu ni huko Kulia, tukipata magoli toka kulia, kushoto na kati hata mmoja akiumia inakuwa sio pigo sana.
 
Kaveh Solhekol

@SkyKaveh

·



Borussia Dortmund have set Manchester United a deadline of 10 August 2026 to pay their €300m asking price for Jude Bellingham
 
Sevilla FC are unbeaten in their last 19 matches in all competitions. This is the club's longest competitive unbeaten run ever.
===================
mechi 12 zilizopita wameruhusu kufungwa magoli matano
Mechi ni ngumu sana hii ila wakifunguka kutafuta goli tutawaadhibu.

Shida ni hiyo pressing yao kama tukienda kichwa kichwa watatuadhibu hawa jamaa.

Record yetu na timu za spain siyo ya kuridhisha sana mpaka Athletic Bilbao alishatutandika goli 3 bila Old Trafford.
 
Official;

In the 2020/21 FA Cup season, no match will be repeated if there is a draw in the first game.
 
Twitter has apologised to Phil Jones and MUFC after it posted a tweet on its official UK account that appeared to poke fun at Phil Jones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…