OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Aseee akuna mtu anafwatilia mpira duniani kama mimiHujui na ufatilii mpira wewe Europa ikiwa kama FA na champions league basi kama fa tu mana wote wanacheza game moja saivi
Ndo ungesema man walikuwa nyumbani?Aseee akuna mtu anafwatilia mpira duniani kama mimi
Rashid Makame a.k.a Rashford★Jana sikupenda kocha alivyo mtoa Eric Bailly bora angetoka Maguire sikuona mchqngo wake jana watu hawawezi kuonq makosa ya Maguire sababu yakikuwa yana tatuliwa na bwana Bailly.
Pia Fred walimuonea sikuona sababu ya kumtoa maana hata Matic jana sikuona mchango wake ki viile.
Rashid makame nae alipaswa atoke kuanzia dakika ya 64 lakini kadumu mpaka mwisho sjui alikuwa anafanya nini maana mipira yote jana ilikuwa inaharibikia kwake na Bissaka.
Jana Timu Pinzani walikuwa wamechoka kama mbwa mkimbizi kama yule captain wao alikuwa anajilazimisha tu ko angetoka Rashid makame akaingia hata Dogo James angenikimbizia pale nazani angezarisha hata goli 2★
Nilikuwa sijui mzee tunaeleweshana tu..
Ok semi final mnacheza lini? Nataka nianze mikakati yangu mapema..
#CFC
Weee mbwa nani kakwambia tunarudiana?Mko nyumbani mna shinda kamoja..mnaenda kukazwa goli siyo chini ya tatu next game..
#CFC
Ongeza sautiHata utaratibu huujui, una ukilaza. Jana tumeshinda na tumeingia nusu fainali, hakuna cha kuchezea nyumbani. Ndiyo imeisha hiyo
Hata kama kusoma hujui ila picha ipo wazi,pengine game kaichek kwa uziHata utaratibu huujui, una ukilaza. Jana tumeshinda na tumeingia nusu fainali, hakuna cha kuchezea nyumbani. Ndiyo imeisha hiyo
Weee mbwa nani kakwambia tunarudiana?
Ushajiuliza why waliongeza dakika 30?
Rashid Makame a.k.a Rashford
Hata kama kusoma hujui ila picha ipo wazi,pengine game kaichek kwa uzi
Ollachuga ana heshimika kwa kukimbia timu yake inavyofungwa.Na wewe usishushe heshima yako unaheshika jukwaa hili jiheshimu. Aliyekwambia Man U walikuwa nyumbani nani? Au walivyoandikwa kushoto ukajua ndo home team? Halafu umeambiwa kuna marudiano? Hao ndo wameondoka hivyo.
Hii ndio maana ya timu kubwa ina fans wengi.After the final wisel
Copenhagen captain (CC)walking along with BF: Thank u very much for everything you have been doing for Manchester United
Ole: Oh...we are trying to get it back, he is helping me (pointing on Bruno)
CC: Yeah, he is amazing (on Bruno)
Itaendelea...
Ili iwejeLeo wolves wapigwe..
Oi..chillIli iweje
Kitambo mbona iyo kituKuna tetesi Inter Milano wanamtka Smalling.