Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Jana sikupenda kocha alivyo mtoa Eric Bailly bora angetoka Maguire sikuona mchqngo wake jana watu hawawezi kuonq makosa ya Maguire sababu yakikuwa yana tatuliwa na bwana Bailly.
Pia Fred walimuonea sikuona sababu ya kumtoa maana hata Matic jana sikuona mchango wake ki viile.
Rashid makame nae alipaswa atoke kuanzia dakika ya 64 lakini kadumu mpaka mwisho sjui alikuwa anafanya nini maana mipira yote jana ilikuwa inaharibikia kwake na Bissaka.
Jana Timu Pinzani walikuwa wamechoka kama mbwa mkimbizi kama yule captain wao alikuwa anajilazimisha tu ko angetoka Rashid makame akaingia hata Dogo James angenikimbizia pale nazani angezarisha hata goli 2★
 
Bruno Fernandes has been directly involved in more goals in all competitions than any other PL player since his Man Utd debut on February 1 – 19 in 21 appearances (11 goals, 8 assists)

Bruno Fernandes vs FC Copenhagen

104 touches
71.1% passing accuracy
6 duels won
4 shots on target
3 key passes
3 fouls drawn
1 tackle
1 goal

Europa League top scorer


manutd |
#GGMU
 

Top scorer from twelve yard 😂😂😂😂
 
Substition ina sababu nyingi, najua unajua hilo.

Kuepusha mchezaji asipate kadi ya pili ya njano(baily yuko likely kuwa booked kuliko Maguire.
 
Mko nyumbani mna shinda kamoja..mnaenda kukazwa goli siyo chini ya tatu next game..

#CFC
Na wewe usishushe heshima yako unaheshika jukwaa hili jiheshimu. Aliyekwambia Man U walikuwa nyumbani nani? Au walivyoandikwa kushoto ukajua ndo home team? Halafu umeambiwa kuna marudiano? Hao ndo wameondoka hivyo.
 
Na wewe usishushe heshima yako unaheshika jukwaa hili jiheshimu. Aliyekwambia Man U walikuwa nyumbani nani? Au walivyoandikwa kushoto ukajua ndo home team? Halafu umeambiwa kuna marudiano? Hao ndo wameondoka hivyo.
Nilikuwa sijui mzee tunaeleweshana tu..

Ok semi final mnacheza lini? Nataka nianze mikakati yangu mapema..


#CFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…