Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Very poor

Martial and Pogba are the only ones who deserve a little praise

Fernandes ni uchovu au nini?..very careless.
 
Acha maneno yako wewe mpira hauko ivo
Huo ni mtazamo wangu mzee...ukikimbilia UEFA wkt timu yako mbovu unategemea nini!??

Team za london against Bayern Munich

Chelsea alikula 7-1
Spurs 7-2
Arsenal akala 10-2

Ss wewe jipeleke wkt hujakamilika uone utakachofanywa.
 
Huo ni mtazamo wangu mzee...ukikimbilia UEFA wkt timu yako mbovu unategemea nini!??

Team za london against Bayern Munich

Chelsea alikula 7-1
Spurs 7-2
Arsenal akala 10-2

Ss wewe jipeleke wkt hujakamilika uone utakachofanywa.
Football is not like that mzee!!!

Iwe timu yetu ni mbovu au sio mbovu, kufuzu UEFA ni jambo muhimu sana. Ikitokea tumetolewa kabla ya kufika fainali ni sehemu muhimu ya mchezo tutakuwa tumeikamilisha. Kwenye mpira hakuna furaha kila siku zipo siku utaumia tu. Matokeo ya timu za London dhidi ya Bayern sio ya kwetu sisi. Leo tumepata goli moja dhidi ya Copenhagen ila sio kiashiria kwamba timu yetu ni mbovu. That's how football works, ups and downs are there for us, hazikwepeki. Hata wachezaji kuna muda watapanda na kuna muda watashuka.

Kama mashabiki tunapenda timu zetu ziwe juu kila siku jambo ambalo haliwezekani kamwe kwenye football. Real Madrid kutoka kuchukua back-to-back UCL mpaka kutolewa hatua za mapema tu ni sehemu ya mchezo.

Muda hautusubiri, tumepata nafasi ya kucheza UEFA CL hakuna haja ya kukaa chini kuwaza wapinzani. Mpira ni kujaribu, hata timu kubwa na nzuri zinajaribu. Timu bora ndiyo yenye possibility kubwa katika football kushinda ila hata timu mbovu inaweza kushinda.

"In football you don't deserve, you win or you lose."
 
Huo ni mtazamo wangu mzee...ukikimbilia UEFA wkt timu yako mbovu unategemea nini!??

Team za london against Bayern Munich

Chelsea alikula 7-1
Spurs 7-2
Arsenal akala 10-2

Ss wewe jipeleke wkt hujakamilika uone utakachofanywa.
Tottenham na arsenal timu ziko top 10 hizo usitufananishe nao sisi was top 3
 
Pamoja na kufanya makosa ya mara kwa mara (yalitu frustrate wote)

Kuna wakati alishindwa kukadiria nguvu ya pasi

Lakini Bruno ndio mchezaji aliyemfanya kipa wa Copenhagen kuwa bize zaidi jana, amegonga miamba na ana shots on target nusu ya shots on target zote za United.

Hapo sijataja mchango wake kwenye kufungua goli (sio kila mchezaji ana kuhakikisha goli timu yako inapopata tuta)

Bruno ni udropable kwa sasa

Bailly pia alikuwa superb
Tumeanza kumdefend kama tulivyokuwa tunafanya kwa pogba

Recently amecheza hovyo na anahitaji kuimprove..tuache kumungunya maneno
 
Tottenham na arsenal timu ziko top 10 hizo usitufananishe nao sisi was top 3
Jipe moyo tu..
Man utd sio ELITE kama ilivyokuwa thats why tunataka rebuild nzuri kwa wachezaji sahihi na Champios league sio lelemama bro!
 
Mkuu umeongea fact..BUT naomba usome vizuri mtiririko wa arguments kati yangu na yule jamaa then utaelewa nimeandika nikimaanisha ki2 gani..

Cuz point ya msingi ilikuwa;TIMU YETU BADO SIO NZURI NA TUNAHITAJI WACHEZAJI BORA KUFANYA REBUILD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…