Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo ni kocha hapa wala sio timu maana hamna tunachocheza kocha karidhika na uchezaji huu. Wapinzani wako bora sana hata mashambulizi yao ila sisi tunacheza slow balaa.
 
Tunaoumia ni sisi mashabikiii
 
★Piah kocha anachofanya ni Upumbavu tena Upumbavu mkubwa kocha kakaa tu haleti hamasa kwa Wachezaji ujue wachezaji ni kama Kondoo ni mpaka uwa Boost maana kuna sehemu wanajisahau unawaweka sawa sasa Huyu Jamaa yeye kakaa tu kazi kulaumu daaah★
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…