Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mara ya kwanza nakaribia kumaliza kuangalia mechi zote za msimu bila kumiss hata moja kwenye mashindano yote..yaani complete dakika 90

Kuna wenzangu mmefanikiwa hili?
enzi ya fergie
 
hyu kocha ana sub za kimama sana lingardinhol kawaka yeye ndio anamtoa si otopolo huu
 
Daaa hivi Angel Gomes ni kweli ameshindwa kumeet potential yake au benchi letu la ufundi ndio lina mashudu!? Jamani nimesikitika sana huyu dogo kuondoka free!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sijafurahi alipaswa apewe nafasi Chong ni utopolo tu hamna kitu, yule Gomez ile miguu ina balaa dah.
 
Chong asaivi kashakuwa ...utulivu anaujua kocha ampe games aachane na Daniel James
 
Daniel James sijui kama atarudi kuproduce vitu kama alivyoanza msimu..

Mata bhana..uzee ushammendea,sema ametupa assist mbili.

Bailly nikimuangaliaga naona ni beki kitasa lakini ndani ya sekunde chache unasema tena huyu beki ni level za Gwambina Fc

Lingard ameonyesha uhai kidogo leo

Germany,Here we come
 
Kuhusu Daniel James ni mkimbiaji kimbiaji tu yule hana tofauti na Sterling so anahitaji kocha mzuri wa kumtengeneza.

Kuhusu bailly anahitaji kuaminika kabla hajawa vidic mpya ana makosa madogo madogo ambayo yanarekebishika.

Mata fundi yule no comment.

Kuhusu lingard, hawezi kuwa mchezaji wa kufaa man u cz tm imemzd kimo angefaa aende Crystal palace akazibe pengo la zaha, unajua hawa wachezaji wa viwango vya chini ikifikia pointi unataka kumuuza huwa wanakuwa na vismati flani hv lkn ukiwaacha waendelee kwenye tm ni the same thing. Ningeshauri aende kwenye tm yake akazibe pengo la Wilfred.
 
Kimsingi kuna timu tatu tu ndo naziogopa humu

*Inter
*wolves
*Sevilla
*
Najua lazima tutakutana na moja wapo hapo.

GGMU GGMU
 
Kimsingi kuna timu tatu tu ndo naziogopa humu

*Inter
*wolves
*Sevilla
*
Najua lazima tutakutana na moja wapo hapo.

GGMU GGMU
Katika wote hao Inter ndiyo hatari sana. Huyu Wolves kakuzoea ila Inter hua inakua compact mabeki watata na wanakuwekea watu 5 eneo la kiungo, kazi ni kwako kutoboa.

Mi siku Arsenal tunatolewa sikuamini.
 
Kuna mechi moja Baily alipigwa mpira wa kichwa akatolewa. Alikaa nje kwa muda, siku alivyokuja kurudi uwanjani hakukaa sana akatolewa tena, tangu ile siku ndiyo miyeyusho ikaanza.

Mlikua mna beki mzuri ila majeruhi.
 
Katika wote hao Inter ndiyo hatari sana. Huyu Wolves kakuzoea ila Inter hua inakua compact mabeki watata na wanakuwekea watu 5 eneo la kiungo, kazi ni kwako kutoboa.

Mi siku Arsenal tunatolewa sikuamini.
Brother wolves wametupiga mara nyingi ujue kuliko hata tulivyowapiga..ni wasumbufu sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…